MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kuta unaangalia hizi basi!..Hapa ngoja nisome tu. Mkifika kwenye drama nitakuwepo [emoji16]
Hahah.. Namkubali sana black bolt haongei lakini akisema neno moja tu na linakuwa [emoji23][emoji23]
Ili flop, tofauti na mategemeo ya wengi...!Hahah.. Namkubali sana black bolt haongei lakini akisema neno moja tu na linakuwa [emoji23][emoji23]
Sijui kwanini hawatuletei season 2
Hahaaa....niletee na za V for Vendetta scene za mwanzoni....Jack Sparrow: Me, I'm dishonest. And a dishonest man you can always trust to be dishonest. I mean honestly, it's the honest ones you have to watch out for. Because you can never predict when they're going to do something incredibly...stupid.
Jack Sparrow: She's safe, just like I promised. She's all set to marry Norrington,just like she promised. And you get to die for her, just like you promised. So we're all men of our word, really... except for Elizabeth, who is, in fact, a woman.
Kati ya zote hapo nayoona inaishinda ubora Inhumans ni Agents of Shield hizo zingine kawaida sanaa!!..Ili flop, tofauti na mategemeo ya wengi...!
Marvel walitoa Series nyingi sana mwaka juzi na jana sasa ikafika kipindi ubora wake haukuwa mzuri.
Mara Dare Devil, Luke Cage, Iron Fist, Agent Carter, The Punisher, Jessica Jones wakati bado kuna Agents of Shield....
Ubora ukawa mdogo sana kuliko Series kama ile ya Agents of Shield
Leta na ile amekutana na Salazar kwa mara ya kwanza!!..Jack Sparrow: She's safe, just like I promised. She's all set to marry Norrington,just like she promised. And you get to die for her, just like you promised. So we're all men of our word, really... except for Elizabeth, who is, in fact, a woman.
Yaani Marvel inabidi wajipange upya kwenye Spin-Offs na Series maana kazi zao nyingi walizotoa ni za kawaida.Kati ya zote hapo nayoona inaishinda ubora Inhumans ni Agents of Shield hizo zingine kawaida sanaa!!..
Gotham nilifatilia hadi season 2 now nna season 3 ila sijaigusa bdo!!..Yaani Marvel inabidi wajipange upya kwenye Spin-Offs na Series maana kazi zao nyingi walizotoa ni za kawaida.
Hivi umefuatilia GOTHAM ???
Muendelezo wake ni Insurgent(2) na Allegiant(3).Divergent
Engineer aligundulika duniani ambao tunaamini walitutengeneza ndio wakaandaliwa watu kwenda angalia source ya hao engineers!.. Sasa kufika Alien planet nje ya solar system yetu tukakutana na Kitu mfano wa ndege ambapo baadae tukagundua ni ndege za hao engineers pamoja na mabaki yao kuja chunguza tukagundua walikuwa wanakuja duniani kutumaliza wakapata ajali ambayo baadae kumbe ni silaha waliokuja nayo ndio iliwaua wenyewe!..Prometheus sijawahi kuielewa,