Deja vu it s not bad, iko poa kiukwel, denzel my favourite actorHawa jamaa wanajua saana.
unataka kuielewa ile interstellar angalia documentary inaitwa Cosmos: A Spacetime Odyssey - Wikipedia
ni documentary nzuri saana kama hujawai kuiona u will thank me later.
Vipi umeiona deja'vuu ya Denzel washington
Hi machine ni hatari saana, sema mwisho na yeye walimchukua ina maana another player mwenye nguvu alikuwa ameingia.Umeiona eeeh ???
Francis Gibson ni balaa!
Hata kama lakini huyu jamaa siyo kabisaa,Hi machine ni hatari saana, sema mwisho na yeye walimchukua ina maana another player mwenye nguvu alikuwa ameingia.
Hawa jamaa wanajua saana.
unataka kuielewa ile interstellar angalia documentary inaitwa Cosmos: A Spacetime Odyssey - Wikipedia
ni documentary nzuri saana kama hujawai kuiona u will thank me later.
Vipi umeiona deja'vuu ya Denzel washington
"Off course you will Jonathan.......😀😀😀""Tell them i will be waiting and anyone who comes i will kill, i will them all!" hahahahh!!
ila kwa utabiri wa mwanzo nazani common atamsaidia wick!.."Off course you will Jonathan.......😀😀😀"
Zikaanza kuingia meseji, jamaa alichanja mbuga....yakimdata lazima yamle nyama!
Eeeh bwana inawezekana kabisa mkuu..Umeona mbali sana aisee!ila kwa utabiri wa mwanzo nazani common atamsaidia wick!..
Lakini wameniudhi mpaka Leo nasubiria mwebdelezo wa Salt sijaona while they promised in 2018 ingetokaNaona kuna nyingine ilitakiwa toka sijui imekuaje haijatoka. Halafu washaona deal kututolea movie series angalia kama Maze runner na John Wick wanachotufanyia!
Kiukweli Keanu Reaves reminds me of old Matt Damon ktk Greanzone Born Identity , ultimatum, Supremacy etc . Siku hizi anapotea au sujui anapotezwa hata simuelewi sana ktk Great wall, Downsizing, Subucorn naona zote kapoteana"Off course you will Jonathan.......😀😀😀"
Zikaanza kuingia meseji, jamaa alichanja mbuga....yakimdata lazima yamle nyama!
Kiukweli Keanu Reaves reminds me of old Matt Damon ktk Greanzone Born Identity , ultimatum, Supremacy etc . Siku hizi anapotea au sujui anapotezwa hata simuelewi sana ktk Great wall, Downsizing, Subucorn naona zote kapoteana
Jana nilikuwa naangalia A MAN WHOO KNEW INFINITY dah ni bonge la historical movie!.. I hope umeiona!?.. Mhindi aliyegundua formula za kutambua black holes, halaf hakua kasoma saana ila hesabu zinamjia kichwani kwake kama anaoteshwa viree!!..Eeeh bwana inawezekana kabisa mkuu..Umeona mbali sana aisee!
Angelina nae kapotea anga za mtindo ule sana!!.. Niliona wanataka kuifanyia reboot TOMB RIDER.Lakini wameniudhi mpaka Leo nasubiria mwebdelezo wa Salt sijaona while they promised in 2018 ingetoka
Aaah hiyo si ya kukosa!... Hivi umezifatilia STAR TREK: DISCOVERY au THE GIFTED?Kuna hii series inaitwa The Event - Wikipedia hii series ni hatari saana, kama unapenda movie za intelligence na sci-fi hii ni kitu kingine huwez kujutia kuiangalia kuna conspiracy si za mchezo.. Nilisikitika baada ya kuwa kutokutoka season 2 yake.
Nazani nilimuona kwenye tangazo la OCEAN'S 8 atakuwa na Bradd Pitt.. tutegemee action thriller!.Kiukweli Keanu Reaves reminds me of old Matt Damon ktk Greanzone Born Identity , ultimatum, Supremacy etc . Siku hizi anapotea au sujui anapotezwa hata simuelewi sana ktk Great wall, Downsizing, Subucorn naona zote kapoteana
Jana nilikuwa naangalia A MAN WHOO KNEW INFINITY dah ni bonge la historical movie!.. I hope umeiona!?.. Mhindi aliyegundua formula za kutambua black holes, halaf hakua kasoma saana ila hesabu zinamjia kichwani kwake kama anaoteshwa viree!!..
Wameshatoa tomb rider ila kacheza mwingine nafkiriAngelina nae kapotea anga za mtindo ule sana!!.. Niliona wanataka kuifanyia reboot TOMB RIDER.
hiyo nitaitafuta asehHapana mkuu hiyo sijaiona lakini naitafuta kesho....
Kuna nyingine inaitwa THE TIME MACHINE jamaa alifiwa na mke sasa akatengeneza time machine ili arudi nyuma halafu amuokoe kabla hajafa, bahati mbaya mashine ilipata hililafu akajikuta kaenda future dunia imeharibika kweli.
Imeshatoka clean yake?..Wameshatoa tomb rider ila kacheza mwingine nafkiri