Movie Reviews

Halafu kuna Adam Warlock, naye anazitafuta Infinity Stones..!
Red Skull naye yumo, kumbe hakufa.....!
Nimemuona aseh!..Ila red skull hana ishu yeyote sijui kwanini wamemucha hai!..
Lakini kuna huyu Eternity aliongea na doctor strange kipindi anataka mpiga Dormamu sijui watamleta kwenye screen maana ndio mbabe!.
 
Marvel is getting interesting as days go by,
Yaani Comics zimeletwa kwenye video bila chenga.
DC wameboronga sana hadi nimeacha kuwa shabiki wao....
 
Marvel is getting interesting as days go by,
Yaani Comics zimeletwa kwenye video bila chenga.
DC wameboronga sana hadi nimeacha kuwa shabiki wao....
kuna mahojiano Tony alikuwa anafanya anasema kachoka kuwa Iron Man lakini anafanya kwa ajili ya Fans wake, wakati huo chriss hamworths nae anasema Thor is boring!..
Inabidi Marvel waangalie new comics kuzileta huku hawa wa sasa wakitafutiwa exit points!. Lakini DC comic imewashinda hawana jipya na kitu kingine walijaribu sana kufanya sci-fi action comedy mpaka unaona huu utoto plus CGI wanazotumia ni mbovu hapo hujafatilia story line kuona inavyokuwa ina lack convincing!..
Ziangalie series kama The Flash na Arrow kuna vitu unaona villain wao ni wanalazimishwa tu hawapo serious!.
Me DC nawafatilia kwenye Animation kule wapo vizuri sana lakini kwenye movie wana fail big time!.
 
Villains wa DC ambao ni watata ni Bane na Joker tu...!
RED ya Bruce Wills ndiyo kidogo katika DC Movie nimeipenda.
 
Spider man naona ndo kaaga ulimwengu... but guyz thanos n mtu mwingine balaa.
Capt Marv kama ataletwa kwa skrin atakua challenger mzuri wa thanos.
 
Spider man naona ndo kaaga ulimwengu... but guyz thanos n mtu mwingine balaa.
Capt Marv kama ataletwa kwa skrin atakua challenger mzuri wa thanos.
Captain Marvel mwakani analetwa kwenye screen kwa movie yake na baadae ndio anakuja letwa kuungana na Avengers.
Spider man hawezi aga MCU sababu yeye ndio kiongozi wa kizazi kijacho cha superheroes lakini vile vile Thanos akiwa defeated na Captain Mar-vell na Doctor strange akaipata ile Infinity Gauntlet anaweza reverse Time kila kitu kikarudi kama kilivyo!. Ndio maana uliona Doctor strange alikuwa anaenda kwenye future kuangalia jinsi gani watamdefeat lakini akakuta kila moja Thanos anashinda na iliyobaki ni unless wampe anachotaka kwa kuja kumshinda baadae!.
Hiyo ya kuua nusu ya ulimwengu Thanos kafanya sana kwenye comics lakini ikawa inawezekana rudishwa!. Kuna wababe kama Beyonder, Adam warlock, The living tribunal, One above all, Molecule man wana nguvu zaidi ya ile Gauntlet.
 
Kama tym itakuwa reversed bas itakua vizur naona Dr strange anaangaika sana kujua namna ya kumdefeate thanos..
BTW kwanin tony ataki kumuingiza deadpool kwa team?
 
hiyo life ni movie iko poa sana..nasubiri kwa hamu part 2 kuona yule mdudu ataleta kizaa zaa gani duniani
 
Kama tym itakuwa reversed bas itakua vizur naona Dr strange anaangaika sana kujua namna ya kumdefeate thanos..
BTW kwanin tony ataki kumuingiza deadpool kwa team?
We unaichukuliaje akili ya deadpool ikakutane na spideeman!?. Ila kwa kipigo cha Thanos nazani watamkubalia tu!.
 
sizani kama itakuwa na part 2 hiyo.. huwa wanaziacha zibaki hewani kuamua mwenyewe mostly.[/QU
poa poa.hizi movies za dizain hii siko familiar nazo sana japo huwa nzur sana..duuh kama haina part 2 basi tena.!!
 
poa poa.hizi movies za dizain hii siko familiar nazo sana japo huwa nzur sana..duuh kama haina part 2 basi tena.!!
ile suspense yake ndio huwa naipenda aseh!..Inabaki kukuachia maswali nini kitatokea!, lakini kwa ajili ya kupiga hela wanaweza kuipatia part 2 siku hizi wazungu nao kama bongo movie tu!. Hawamalizi story wakiona mtaipenda!.
 
hahahaha...daah wakitoa part 2 yake naisubiri maana nilibaki na maswali sijui kile chombo kilitua china jamaa wanaenda kufungua wanakutana na yule kiumbe..ikaishia hapo daah
 
hahahaha...daah wakitoa part 2 yake naisubiri maana nilibaki na maswali sijui kile chombo kilitua china jamaa wanaenda kufungua wanakutana na yule kiumbe..ikaishia hapo daah
Cloverfield Paradox nayo ipo hivyo hivyo!. Wamefungua dimension nyingine wanahangaika kurudi ya kwao kufanikiwa shuka kumbe kuna viumbe walivifungulia navyo!.
 
Cloverfield Paradox nayo ipo hivyo hivyo!. Wamefungua dimension nyingine wanahangaika kurudi ya kwao kufanikiwa shuka kumbe kuna viumbe walivifungulia navyo!.
Ngoja nishushe sahiz huo mzigo niutizame.
 
Movie za kuelimisha hua ndio za uhalisia ila movie za kustarehesha ndio hua edit iko nyingi..Na Ni ushamba kulalamika ety movie hazina uhalisia akati title ya movie unaambiwa Ni science fiction
Hawa ni wale waliozoea maigizo.
 
Spider man naona ndo kaaga ulimwengu... but guyz thanos n mtu mwingine balaa.
Capt Marv kama ataletwa kwa skrin atakua challenger mzuri wa thanos.
Adam Warlock ndiyo hatari kwa Thanos kwasababu naye ana uwezo wa kuvaa ile gauntlet halafu anatumia Soul Stone vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…