Movie Reviews

Kuna siku moja Thanos na Adam Warlock waliingia anga za One Above all, yeye akafuta all of the Universe na kuwaacha wenyewe wawili. Wakaenda kupiga magoti kumuomba arudishe Universe, sasa akawauliza kwanini huwa wanataka kuifuta Universe wakiwa na ile Gaunlet ???
 
Niliona tu The living tribunal anamuongelea huyo One above all alivyo mtata zaid ya cosmic being wote!!.. hivi ana sura!?
 
Thanos ameleta mapinduzi Marvel aisee!
Universe nzima inavurugika kabisaa na kuanza upya!
sasa sijui wataleta mbabe gani baada ya Thanos!.. Halafu na DC nao wamempa deal the rock kuigiza Black Adam naona nao wanapanic kuona soko linawatupa. Sasa nao sijui wataendelea na Captain Marvel au wanabakiza Shazam pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…