Gotham inavyotengenezwa itawabidi DC wazifanyie reboot movie zao sasa!.. Maana kama hapo inaonyesha bruce alianza toka utotoni mafunzo akati kwenye movie Batman tunaona alipokuwa mkubwa au selena kyle alivyoanza toka utotoni kuwa mwizi akati catwoman tunaona alianza ukubwani!..Gotham : Mad City
Gotham hatari sanaGotham : Mad City
Wangemuacha Christopher Nolan aiseee!sasa sijui wataleta mbabe gani baada ya Thanos!.. Halafu na DC nao wamempa deal the rock kuigiza Black Adam naona nao wanapanic kuona soko linawatupa. Sasa nao sijui wataendelea na Captain Marvel au wanabakiza Shazam pekee
Yaani mimi nilipenda DCU iwe kama Gotham ilivyo aisee!Gotham inavyotengenezwa itawabidi DC wazifanyie reboot movie zao sasa!.. Maana kama hapo inaonyesha bruce alianza toka utotoni mafunzo akati kwenye movie Batman tunaona alipokuwa mkubwa au selena kyle alivyoanza toka utotoni kuwa mwizi akati catwoman tunaona alianza ukubwani!..
Na movie za hivyo anazipatia balaa huyu jamaa!.. DCU wanacomic story nzuri ila kuzileta kwenye cinema itawabidi wajitahidi Stunt works, CGI na marketing yao!!..Wangemuacha Christopher Nolan aiseee!
Yaani DC hazina connection kabisa, lakini Marvels wameunganisha story kuanzia Luke Cage, Shield, Thor, Flash yaaani mtu unaelewa. Yaani DC ni Bizzare Bizzare, Mbona Batman ilikuwa powa sana sanaaNa movie za hivyo anazipatia balaa huyu jamaa!.. DCU wanacomic story nzuri ila kuzileta kwenye cinema itawabidi wajitahidi Stunt works, CGI na marketing yao!!..
Au wawachukua Wachowski Brothers waone kitakachotokea kwenye DCUYaani mimi nilipenda DCU iwe kama Gotham ilivyo aisee!
Hivi hawa ndiyo wale wa Matrix eeh ???Au wawachukua Wachowski Brothers waone kitakachotokea kwenye DCU
Mkuu hivi unazikumbuka Zoom, My Ex girlfriend is a superhero, Pawn, hellboy na The Crow enzi hizo hatuwajui Iron man wala Hulk!.Yaani DC hazina connection kabisa, lakini Marvels wameunganisha story kuanzia Luke Cage, Shield, Thor, Flash yaaani mtu unaelewa. Yaani DC ni Bizzare Bizzare, Mbona Batman ilikuwa powa sana sanaa
Yeah hao jamaa nao waliipatia sana The Matrix naona wakipewa DCU wataweza iweka vizuri!. Labda tumsubiri cyborg kama ataweza kuleta changes kwa blacks kwenye DCU ππHivi hawa ndiyo wale wa Matrix eeh ???
Halafu ambacho Marvel wametisha sana, wameweza kucheza na karata ya Ubaguzi wa rangi teh teh teh!
Wameweka Super Heroes weusi wengi kuliko DC, hebu angalia The Black Panther na Luke Cage tu!
Umesahau na Hancock ya Will Smith.Mkuu hivi unazikumbuka Zoom, My Ex girlfriend is a superhero, Pawn, hellboy na The Crow enzi hizo hatuwajui Iron man wala Hulk!.
Batman ndio alikuwa anaonekana mbabe hapigiki sio huyu wa sasa hata akili zimepungua!.
Mkuu kwasasa its too late, wametumia pesa kibao sana.Yeah hao jamaa nao waliipatia sana The Matrix naona wakipewa DCU wataweza iweka vizuri!. Labda tumsubiri cyborg kama ataweza kuleta changes kwa blacks kwenye DCU ππ
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona unatafuta watu kufungiwa movie zao kuonyeshwa Cinema kwa watoto Yani movie kama Hostel uje sema hata Watoto waangalie!?..
Hahaha superhero mlevi ila Hancock nayo ilikuwa bonge la Movie kama wangeifanyia franchise!.Umesahau na Hancock ya Will Smith.
Hivi Zoom ndiyo ile alikuwa kazeeka kidole tu ndiyo kikawa na spidi baadae akaja kupata nguvu ???
Hapo wampatie kazi basi Steven Spielberg mzee wa Jurassic Park watengeneze Jina maana jamaa hakosei huyu!. Halafu anajulikana sana kwa kazi anazotoa zimeenda shule!.Mkuu kwasasa its too late, wametumia pesa kibao sana.
Watulie wasitake kushindana na Marvel hata kidogo watapotea.
Wakae chini waje na mkakati mwingine wa kibiashara ndiyo watafanikiwa!
Bwahahaha, aisee Tarantino balaa![emoji23][emoji23][emoji23] Naona unatafuta watu kufungiwa movie zao kuonyeshwa Cinema kwa watoto Yani movie kama Hostel uje sema hata Watoto waangalie!?..
Wajaribu bwana, wajaribu!Hapo wampatie kazi basi Steven Spielberg mzee wa Jurassic Park watengeneze Jina maana jamaa hakosei huyu!. Halafu anajulikana sana kwa kazi anazotoa zimeenda shule!.
Au Michael Bay mzee wa Transfomers atawaboost.
Hiyo hiyo, Mentor wao alipoteza nguvu.....!Hahaha superhero mlevi ila Hancock nayo ilikuwa bonge la Movie kama wangeifanyia franchise!.
Zoom ile watoto wana super powers ni ya watoto wanaangdaliw kupigana na jamaa flani!. Kuna watoto kama wa 5 hivi!.
Haha yeah huyo huyo ila ilikuwa ya kitoto sana!..Hiyo hiyo, Mentor wao alipoteza nguvu.....!