Movie Reviews

Green Lantern yupo DC Comics msubiri kwenye Justice League/Suicide Squad nadhani watamleta yule Black sasa!!..
Deadpool ni Sony wakikubaliana na Marvel basi hata Mutants utawaona kwenye Avengers/Guardian of the Galaxy/X-Force!.
kwamba TMNT watakua Avengers? hao si wa Nickelodeon. ila mbona Watu wa Guardian of the Galaxy wapo Avengers?
 
kwamba TMNT watakua Avengers? hao si wa Nickelodeon. ila mbona Watu wa Guardian of the Galaxy wapo Avengers?
TMNT ina maanisha kitu gani!?.
Guardian of the Galaxy na Avengers ni Marvel character na kuna Mutants (X-men) hawa wao umiliki ni wa Sonny ila Marvel anabargain nao wamerge kampuni ili aweze watumia (zamani Marvel ilijitenga) na wao ndani ya MCU -Marvel Cinematic Universe.
Ingawa kuna kipindi kwenye comics District Comics na Marvel Comic huwa wanaungana sometimes kuwatumia character wao kama kipindi Batman alipokuwa anatafutwa kila sehemu ikabidi akaombe msaada kwa Tony Stark (Iron Man).
 
TMNT nilimaanisha Teenage Mutant Ninja Turtles inatengenezwa na Nickelodeon.
Hapo sawa ila naona Justice league wamemuongeza yule dogo wa Lord of the ring anayepiga mishale.
napenda Hug Jackman (X man aongezwe Avengers)
 
Wale Turtles sio product ya kampuni hizo, Nickelodeon wanajitegemea!.
Aliyeact Deadpool ndio aliyeact kwenye wolverine origin na ndio aliyeact kwenye Green Lantern.
Kilichotokea wameamua kumtoa kwenye hizo movie zote, karud nyuma kaenda jiua hapo wanakua wamezifanyia reboot tayari Green Lantern, X-men na Wolverine.
Kwenye mkataba wa MCU a Sonny yasemekana wanamtaka sana Logan/Wolverine kwenye Avengers na kingine Deadpool anataka sana kuingia Avengera ila Tony hataki.
Tusubiri X-men: Dark Phoenix itaonyesha uelekeo!..
 
Hapo sawa.
Kwahiyo Tony Stark ana cheo gani hapo Avengers hadi yeye akatae..?
 
Nami pia.

Kaka ...
 
Hapo sawa.
Kwahiyo Tony Stark ana cheo gani hapo Avengers hadi yeye akatae..?
Iron Man ni Icon ya MCU hadi sasa!.. Yeye ndio alikuja na wazo la kuunda Avengers na akatoa Stark Tower kuwa makao yao!.. Kama uliicheki Avengers 1. Ingawa kiuhalisia Captain America ndio Leader of Avengers!
 
Hapo sasa nimeelewa. Hivi katika super heros wote nani mwenye uwezo mkuu zaidi ya wotee...?
 
Ila yule Thor huwa simwelewagi sana ingawa wamempa hadhi kubwa ( nungekuea Rango ningesema his character is undefined).
Infinity war ilinoga sana kule Wakanda
 
Wakubwa kwenye infinitywar mwishoni avenger wote wali badilika naku potea kabisa kusema ndo mwisho wa avengers wakuu au mbwembwe tyuuu
 
Nakubaliana na ww bibie humo ndo kila kitu wanatumia kutu brain wash
Hollywood sio wa mchezo.
Mimi sio mtazamaji mzuri wa izo movie.. nikipataga laptop ya kugongea natazamaga ,hasa nikiwa na utulivu yani utagundua katika kila scene kuna mafumbo na maana zaidi ya 5....

hapo ndo utajua watu hawafanyi fanyi tu wanafanya kweli.. ila ukifanya cinema kama entertainment hutaona chochote zaidi ya ma transformer yasioeleweka
 
Vi rendra huku naomba tujadili tu hizi muvi as for entertaining ourselves. but tukiaanza kuchimbua yaliyo nyuma ya Hollywood na muvi zao ni hatar. Nadhani tutaenda hadi kwenye zile family 13 za illuminati
 
Hapo sasa nimeelewa. Hivi katika super heros wote nani mwenye uwezo mkuu zaidi ya wotee...?
Kila mmoja ana mbabe wake, na kuna wengine bado hujawaona kwenye TV lakini wapo kwenye vitabu!.. Ila kuna kiumbe kinaitwa One Above All huyo ndio kama mungu, kuna Lord Chaos na Master Order nao wana uwezo wao!.. Kuna Living Triburnal nae ana power zake!.. Hata Thanos alipigwa na mtoto wake anaitwa Thanes.
Ni vigumu kusema yupi ana waweza wote labda useme kuna wale wanaitwa Cosmic Beings ambao hawakuzaliwa walitokea kutokana na Evolution tu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…