Wale Turtles sio product ya kampuni hizo, Nickelodeon wanajitegemea!.
Aliyeact Deadpool ndio aliyeact kwenye wolverine origin na ndio aliyeact kwenye Green Lantern.
Kilichotokea wameamua kumtoa kwenye hizo movie zote, karud nyuma kaenda jiua hapo wanakua wamezifanyia reboot tayari Green Lantern, X-men na Wolverine.
Kwenye mkataba wa MCU a Sonny yasemekana wanamtaka sana Logan/Wolverine kwenye Avengers na kingine Deadpool anataka sana kuingia Avengera ila Tony hataki.
Tusubiri X-men: Dark Phoenix itaonyesha uelekeo!..