Kwenye Animation Thanos alipoibeba ile Infinity Gauntlet akaaactive Time kuwashinda kila wakimsogelea wanazeeka.Ila yule Thor huwa simwelewagi sana ingawa wamempa hadhi kubwa ( nungekuea Rango ningesema his character is undefined).
Infinity war ilinoga sana kule Wakanda
Thanos anaamini ili planets ziweze kusustain life inabidi organisms wawe wachache!.. Zamani alikuwa anaifanya manually anaenda kila planet anaua watu wake anabakiza wachache!.Wakubwa kwenye infinitywar mwishoni avenger wote wali badilika naku potea kabisa kusema ndo mwisho wa avengers wakuu au mbwembwe tyuuu
hiyo muvi inaitwaje? kwani story ya infinity ipo vp sijaisomaKwenye Animation Thanos alipoibeba ile Infinity Gauntlet akaaactive Time kuwashinda kila wakimsogelea wanazeeka.
Walikufa wote kasoro THOR yeye kadri anavyozeeka ndio anavyozidi kuwa na nguvu akampiga Thanos, ikabidi Thanos areverse muda kurudi uwanjani tena🙂.
ni kweli mkuuVi rendra huku naomba tujadili tu hizi muvi as for entertaining ourselves. but tukiaanza kuchimbua yaliyo nyuma ya Hollywood na muvi zao ni hatar. Nadhani tutaenda hadi kwenye zile family 13 za illuminati
Season ya 3 epsode 2Kama kuna anaefaham chochote kuhusu series ya Shooter anipe updates wamefikia wapi mpaka sasa hivi. Nimeishia season 2 episode ya 8
Hapana bado hawajaitoaEti wrong turn 7 ipo ? Na je imetoka ?
Mkuu ...ironman hakuja na hilo wazo...wazo Hilo lilitoka kwa NICK FURY kama unakumbuka kwny post credit scene ya IRON MAN 1 na CAPTAIN AMERICA 1..Nick fury ndo alimfuata tony stark akamwambia he wants to create a team.Iron Man ni Icon ya MCU hadi sasa!.. Yeye ndio alikuja na wazo la kuunda Avengers na akatoa Stark Tower kuwa makao yao!.. Kama uliicheki Avengers 1. Ingawa kiuhalisia Captain America ndio Leader of Avengers!
Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.Mkuu ...iron hakuja na hilo wazo...wao Hilo lilitoka kwa NICK FURY kama unakumbuka kwny post credit scene ya IRON MAN 1 na CAPTAIN AMERICA 1..Nick fury ndo alimfuata tony stark akamwambia he wants to create a team.
Venom soon to come..Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
Naikubali sana hii.mtoto mzuri sana doroleskwa wanaopenda westen mvies/series, series ya westworld sio ya kuiacha kabisa.
Jamaa wameanza kutoa na movie za villain. hela inatafutwa aseh!!..Venom soon to come..
hahaa teddy ndio alikuwa anammiliki.HBO wana series complicated sana.Naikubali sana hii.mtoto mzuri sana doroles
Xmen haimilikiwi na SONNY mkuu...inamilikiwa na FOX STUDIOSTMNT ina maanisha kitu gani!?.
Guardian of the Galaxy na Avengers ni Marvel character na kuna Mutants (X-men) hawa wao umiliki ni wa Sonny ila Marvel anabargain nao wamerge kampuni ili aweze watumia (zamani Marvel ilijitenga) na wao ndani ya MCU -Marvel Cinematic Universe.
Ingawa kuna kipindi kwenye comics District Comics na Marvel Comic huwa wanaungana sometimes kuwatumia character wao kama kipindi Batman alipokuwa anatafutwa kila sehemu ikabidi akaombe msaada kwa Tony Stark (Iron Man).
Umeongea vitu vingi mkuu..ila from the beginning aliyetoa wazo la kuunda timu ni NICK FURY..Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
Kuhusu kusema NICK FURY HANA AUTHORITY YOYOTE AVENGERS unakuwa UMEKOSEA SANA!! "Rejea "IRON MAN 1" kk baada ya tonny stark kujiona anakaribia kufa kwa sababu ya ile RADIOACTIVE MATERIAL aliyoweka kifuani mwake aliamua kula bata na kufanya mambo ya ajabu.. Sasa ikawa hivi..Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
my bad!..Xmen haimilikiwi na SONNY mkuu...inamilikiwa na FOX STUDIOS
Mie kwa mtu aliyeifuatilia shooter, aniambie kama inafaa kuangalia publicly au na familia.Season ya 3 epsode 2