Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.