Movie Reviews

Movie Reviews

Ila yule Thor huwa simwelewagi sana ingawa wamempa hadhi kubwa ( nungekuea Rango ningesema his character is undefined).
Infinity war ilinoga sana kule Wakanda
Kwenye Animation Thanos alipoibeba ile Infinity Gauntlet akaaactive Time kuwashinda kila wakimsogelea wanazeeka.
Walikufa wote kasoro THOR yeye kadri anavyozeeka ndio anavyozidi kuwa na nguvu akampiga Thanos, ikabidi Thanos areverse muda kurudi uwanjani tena🙂.
 
Wakubwa kwenye infinitywar mwishoni avenger wote wali badilika naku potea kabisa kusema ndo mwisho wa avengers wakuu au mbwembwe tyuuu
Thanos anaamini ili planets ziweze kusustain life inabidi organisms wawe wachache!.. Zamani alikuwa anaifanya manually anaenda kila planet anaua watu wake anabakiza wachache!.
Kazi ikawa kubwa akajua kuna kifaa akiweza kipata atapoteza nusu ya ulimwengu kwa finger snapping tu!, ndio mission ilipoanzia kuzitafuta hizo stones!.
Watu walopotea ni wamekufa atakaye mshinda Thanos itambidi arudishe muda nyuma ili warudi wote!.
 
Kwenye Animation Thanos alipoibeba ile Infinity Gauntlet akaaactive Time kuwashinda kila wakimsogelea wanazeeka.
Walikufa wote kasoro THOR yeye kadri anavyozeeka ndio anavyozidi kuwa na nguvu akampiga Thanos, ikabidi Thanos areverse muda kurudi uwanjani tena🙂.
hiyo muvi inaitwaje? kwani story ya infinity ipo vp sijaisoma
 
Vi rendra huku naomba tujadili tu hizi muvi as for entertaining ourselves. but tukiaanza kuchimbua yaliyo nyuma ya Hollywood na muvi zao ni hatar. Nadhani tutaenda hadi kwenye zile family 13 za illuminati
ni kweli mkuu
 
kwa wanaopenda westen mvies/series, series ya westworld sio ya kuiacha kabisa.
 
Iron Man ni Icon ya MCU hadi sasa!.. Yeye ndio alikuja na wazo la kuunda Avengers na akatoa Stark Tower kuwa makao yao!.. Kama uliicheki Avengers 1. Ingawa kiuhalisia Captain America ndio Leader of Avengers!
Mkuu ...ironman hakuja na hilo wazo...wazo Hilo lilitoka kwa NICK FURY kama unakumbuka kwny post credit scene ya IRON MAN 1 na CAPTAIN AMERICA 1..Nick fury ndo alimfuata tony stark akamwambia he wants to create a team.
 
Mkuu ...iron hakuja na hilo wazo...wao Hilo lilitoka kwa NICK FURY kama unakumbuka kwny post credit scene ya IRON MAN 1 na CAPTAIN AMERICA 1..Nick fury ndo alimfuata tony stark akamwambia he wants to create a team.
Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
 
Venom soon to come..
 
TMNT ina maanisha kitu gani!?.
Guardian of the Galaxy na Avengers ni Marvel character na kuna Mutants (X-men) hawa wao umiliki ni wa Sonny ila Marvel anabargain nao wamerge kampuni ili aweze watumia (zamani Marvel ilijitenga) na wao ndani ya MCU -Marvel Cinematic Universe.
Ingawa kuna kipindi kwenye comics District Comics na Marvel Comic huwa wanaungana sometimes kuwatumia character wao kama kipindi Batman alipokuwa anatafutwa kila sehemu ikabidi akaombe msaada kwa Tony Stark (Iron Man).
Xmen haimilikiwi na SONNY mkuu...inamilikiwa na FOX STUDIOS
 
Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
Umeongea vitu vingi mkuu..ila from the beginning aliyetoa wazo la kuunda timu ni NICK FURY..
Nakuomba ukaangalie CAPTAIN AMERICA 1 kwny post credit scenes utaona jamaa ndo alimuhifadhi Steve rodgers pale New york(steve rodgers alilala kwa miaka km 70 hivi km sijakosea..)

Rejea pia kwny TRAILER YA AVENGERS utasikia sauti ya NICK FURY INAZUNGUMZIA IDEA YA Kukusanya supersolders na superhumans kwa ajili ya kupambana na threats zinzotoka nje ya dunia..

Fanya hvyo mkuu utapata jibu..
 
Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
Kuhusu kusema NICK FURY HANA AUTHORITY YOYOTE AVENGERS unakuwa UMEKOSEA SANA!! "Rejea "IRON MAN 1" kk baada ya tonny stark kujiona anakaribia kufa kwa sababu ya ile RADIOACTIVE MATERIAL aliyoweka kifuani mwake aliamua kula bata na kufanya mambo ya ajabu.. Sasa ikawa hivi..

Nick fury ndo aliyemtuma BLACK WIDOW ajifanye ni secretary wa ofisi ya stark kumbe ameenda kumchunguza ili wamfanyie RECRUIT YA KUWA MEMBER WA AVENGERS ...na km unakumbuka Alimtuma pia COULSON( wa agents of shield) aende kumchek jamaa na kwa kuongezea hadi walimpiga HOUSE ARREST sababu alikuwa anazingua kwa order zilizotoka kwa NICK FURY!!!

BRO NICK FURY ANACHEO KIKUBWA MULE..
 
Back
Top Bottom