Me navyoona yule jamaa kwa mtazamo wangu hana continuity kubwa zaidi ya huyu wa sasa anayeweza kuziendeleza muda mrefu zaidi!..umemfahamu huyo mtu niliyemtaja?
Godzila bado, ila hiyo Jurassic Park nzuri nayo kuna huyo blue mtata balaa na kuna aina flani ya bleed ina akili jamaa wanaiita "Second intelligent being in the world" nadhani baada ya binadamu sio kwa kuimitate kule.Godzila ishatoka??
Movie zipi utazielewa!?..Kama huna hela mfukoni huwezi kuzielewa hizo movie aisee.
Naaam hyo yaweza kuwa point. Ila wazungu ni wakuda sana kwenye kufananisha watu. Huyu wa sasa anafanana kiasi na TobeyMe navyoona yule jamaa kwa mtazamo wangu hana continuity kubwa zaidi ya huyu wa sasa anayeweza kuziendeleza muda mrefu zaidi!..
Sawa na Tony Stark jamaa alivyochoka kuigiza Iron man!..
Hiyo sijaicheki aisee. Ngoja tuone hii ya Godzila ikitoa. Men In Black yatoka mwaka huu au kesha? Naina kaongezwa Thor as Agent HGodzila bado, ila hiyo Jurassic Park nzuri nayo kuna huyo blue mtata balaa na kuna aina flani ya bleed ina akili jamaa wanaiita "Second intelligent being in the world" nadhani baada ya binadamu sio kwa kuimitate kule.
Natumiaga app moja ina itwa movie play boxImeshatoka Clean Version mbona!.. Huwa unatafutia wapi tuanzie hapo kwanza!.
Showbox kwenye simu au pc?Download Showbox app upate clean version au ngoj nikuletee link za site
Tom hardy???? Maguire au holland?Naaam hyo yaweza kuwa point. Ila wazungu ni wakuda sana kwenye kufananisha watu. Huyu wa sasa anafanana kiasi na Tobey
Kisa cha logan kimebadilika???? Kiaje.Yeah ila si umeona wameifanyia reboot ina maana Green Lantern atakuwa tofauti tena, na Logan kisa chake kitabadirika sasa!!..
sikuwa na update ya hiyo movie aseh!!..Hiyo sijaicheki aisee. Ngoja tuone hii ya Godzila ikitoa. Men In Black yatoka mwaka huu au kesha? Naina kaongezwa Thor as Agent H
google search 'showbox apk' idownloadShowbox kwenye simu au pc?
Kwa kuuliwa weapon X ina maana Logan hakupigana nae, then Logan hatapigwa risasi ya Admantum na Stryker mpaka apoteze fahamu za yeye ni nani!. Ina maana Demu wake hatakufa, Logan atakutana na X-men kwa kisa tofauti!..Kisa cha logan kimebadilika???? Kiaje.
Kwan logan na x men ni watu tofauti?Kwa kuuliwa weapon X ina maana Logan hakupigana nae, then Logan hatapigwa risasi ya Admantum na Stryker mpaka apoteze fahamu za yeye ni nani!. Ina maana Demu wake hatakufa, Logan atakutana na X-men kwa kisa tofauti!..
Sawa na Green Lantern kufa Ryan Reynold ina maana hakukubali kuwa Green Lantern then Ring itaenda kwa mwingine.
Hapo reboot imeshafanyika, ina maana visa tofauti vinaenda tokea!.
Hahaha, X-men ni crew nzima yaan members wa Xavier, Logan ni WolverineKwan logan na x men ni watu tofauti?
Kuna X-men na Original X-men. Logan ni X-men yeah but umeziona X-men:first class na X-men:apocylpse!?.. Wale ndio Original X-men.Kwan logan na x men ni watu tofauti?
Logan ni jina wolverine ni Nickname sawa na Erik/MagnetoHahaha, X-men ni crew nzima yaan members wa Xavier, Logan ni Wolverine
Weapon X ya Dr styriker au ipi??? X-24Kuna X-men na Original X-men. Logan ni X-men yeah but umeziona X-men:first class na X-men:apocylpse!?.. Wale ndio Original X-men.
I mean Logan aliikuta X-men tayari inafanya kazi hakuanza nao moja!..
Ukiangalia X-men 1 ile Logan kakutana na Rogue hadi Sabretooth akamuattack X-men wakajamsaidia then wakawa wanataka jua Magneto kwanini anamtaka Logan, ila badae wakajua hakua Logan ni Rogue ndio alikua anatafutwa.
X-men imeanza Logan hajui katokea wapi na jina ni kutokana na dog tag aliyokuwa ameivaa tu!, so kuto kufa weapon X kila kitu kinabadirika!..Story nzima inaweza chezwa upya.