Movie Reviews

Movie Reviews

umemfahamu huyo mtu niliyemtaja?
Me navyoona yule jamaa kwa mtazamo wangu hana continuity kubwa zaidi ya huyu wa sasa anayeweza kuziendeleza muda mrefu zaidi!..
Sawa na Tony Stark jamaa alivyochoka kuigiza Iron man!..
 
Godzila ishatoka??
Godzila bado, ila hiyo Jurassic Park nzuri nayo kuna huyo blue mtata balaa na kuna aina flani ya bleed ina akili jamaa wanaiita "Second intelligent being in the world" nadhani baada ya binadamu sio kwa kuimitate kule.
 
Naaam hyo yaweza kuwa point. Ila wazungu ni wakuda sana kwenye kufananisha watu. Huyu wa sasa anafanana kiasi na Tobey
 
Godzila bado, ila hiyo Jurassic Park nzuri nayo kuna huyo blue mtata balaa na kuna aina flani ya bleed ina akili jamaa wanaiita "Second intelligent being in the world" nadhani baada ya binadamu sio kwa kuimitate kule.
Hiyo sijaicheki aisee. Ngoja tuone hii ya Godzila ikitoa. Men In Black yatoka mwaka huu au kesha? Naina kaongezwa Thor as Agent H
 
sikuwa na update ya hiyo movie aseh!!..
 
Kisa cha logan kimebadilika???? Kiaje.
Kwa kuuliwa weapon X ina maana Logan hakupigana nae, then Logan hatapigwa risasi ya Admantum na Stryker mpaka apoteze fahamu za yeye ni nani!. Ina maana Demu wake hatakufa, Logan atakutana na X-men kwa kisa tofauti!..
Sawa na Green Lantern kufa Ryan Reynold ina maana hakukubali kuwa Green Lantern then Ring itaenda kwa mwingine.
Hapo reboot imeshafanyika, ina maana visa tofauti vinaenda tokea!.
 
Kwan logan na x men ni watu tofauti?
 
Kwan logan na x men ni watu tofauti?
Kuna X-men na Original X-men. Logan ni X-men yeah but umeziona X-men:first class na X-men:apocylpse!?.. Wale ndio Original X-men.
I mean Logan aliikuta X-men tayari inafanya kazi hakuanza nao moja!..
Ukiangalia X-men 1 ile Logan kakutana na Rogue hadi Sabretooth akamuattack X-men wakajamsaidia then wakawa wanataka jua Magneto kwanini anamtaka Logan, ila badae wakajua hakua Logan ni Rogue ndio alikua anatafutwa.
X-men imeanza Logan hajui katokea wapi na jina ni kutokana na dog tag aliyokuwa ameivaa tu!, so kuto kufa weapon X kila kitu kinabadirika!..Story nzima inaweza chezwa upya.
 
Weapon X ya Dr styriker au ipi??? X-24
 
Kama itaanza upya ndo itawachanganya zaiidi wasiofahamu.... kwa mantiki io hakutakuwa na Xavier??? Either magneto sio?
 
Back
Top Bottom