Movie Reviews

Movie Reviews

mission impossible
john wick
acts of vengeance
hitman
golden circle
Evelyn salt
white house down
lone survivor
the punisher hii ni series fupi ya 2017
and the like....

mtazi categorize wenyewe mi nimemaliza
Hizi sio sci-fi moviez mkuu!!
 
Hiyo watuletee muendelezo wake!...agent 48 tumuone ubabe wake naye!..
Hatar sana kuna hii saiv naangalia imeandikwa SAW looh watu wanakatwa miguu hij mitambo ya humu balaaa sana

Kuna mzee anatisha balaa kwa mission zakeee
 
Hatar sana kuna hii saiv naangalia imeandikwa SAW looh watu wanakatwa miguu hij mitambo ya humu balaaa sana

Kuna mzee anatisha balaa kwa mission zakeee
Hizo ni shida wanavyouana me nishaacha kuziangalia!..sawa na zile jeeper screepers tu!.
 
1. World War Z
2. Hell Boy: The Golden Army
3. Inception
4. The Fifth Element
5. Ghost in a shell
6. I am a Legend
7. X-Men: Wolverine
8. X-Men: Days of the Future past
9. I- Robbot
10. Jumper
 
Back
Top Bottom