Movie Reviews

Movie Reviews

Labda ndio wanaifanyia continuation tuone Bumblebee alifikaje duniani. Kwenye Transformers si wanaonyesha alivyompata Sam tu.
Ila logic ya Robot linakua haitakua nzuri!.
Gifted umeiona?
imetengenezwa na Marvel
 
Labda ndio wanaifanyia continuation tuone Bumblebee alifikaje duniani. Kwenye Transformers si wanaonyesha alivyompata Sam tu.
Ila logic ya Robot linakua haitakua nzuri!.
Ila Its possible kabisa kwasababu Transformers wanaweza kupeleka Sparks zao kwenye Automobile yoyote.
Unakumbuka kwenye ile ya kwanza aliitoka kwenye Camaro ya zamani hadi ile mpya
 
Dah!...Na hapo ni kweli aseh!..mwishoni wanaweza iingiza story ya Sam watu tukaendelea kufurahia!.
Hawa jamaa wanachotufanyia sio haki kabisa!..😀
 
Bado mkuu.
naisubir kwa hamu mwendelezo wake. Sasa naisubir Infinity kwa hamuu
Wakati unaisubiri AIW2 angalia Deadpool 2 yure jamaa ni mjinga sana!!.
Naona kaamua kuua version zake zote toka Wolverine 1 hadi Green Lantern [emoji23]
 
Kwakweli Grean lantern kwann hawamuweki Avangers au yupo justice league?
deadpool je?
 
Dah!...Na hapo ni kweli aseh!..mwishoni wanaweza iingiza story ya Sam watu tukaendelea kufurahia!.
Hawa jamaa wanachotufanyia sio haki kabisa!..😀
Hahahahaha, yaani i get to see Megatron again!
😀😀😀😀
 
Bado Hawaja announce PB inatoka lini?
24hrs je?
PB sina taarifa zake!.
24 Kieffer (jack) kachoka kuziigiza sidhani kama kuna mpya hivi karibuni. Kawekeza sana kwenye Designated Survivor!.
 
Kwakweli Grean lantern kwann hawamuweki Avangers au yupo justice league?
deadpool je?
Green Lantern yupo DC Comics msubiri kwenye Justice League/Suicide Squad nadhani watamleta yule Black sasa!!..
Deadpool ni Sony wakikubaliana na Marvel basi hata Mutants utawaona kwenye Avengers/Guardian of the Galaxy/X-Force!.
 
sasa hizi movie ndio zimebeba maproject yajayo.. siri na kila kijacho wakuu.. watu wazima hawawezi kukaa tu watengeneze movie ya kusadikika bila maana nyuma ya pazia....
 
Mchele mmoja mapishi mia,.....
Unajitahidi....
 
Back
Top Bottom