Movie Reviews

Movie Reviews

Hivi Sherlock ndio Inspector Gadgets!?.. Nimeikumbuka hiyo animation miaka flani ilikuwepo.
Mhhhh hapana, maana Sherlock alikuwepo kipindi cha Industrial Revolution.
Inspector Gadget ni wa kisasa ziadi
 
Dah, hatimaye nimeicheki. nilikuwa nasubiria safisafi itoke. Hulk alipigwa kifuti kimoja matata sana.
Mimi ile ngumi ya shingo ndiyo iliniacha hoi, alipigwa moja akasinyaa akawa haamini amini hivi.
Aisee alipigwa kifuti kile cha uso, daaah hahahaahahaha. DC wameshashindwa hii vita kabisaaa!
 
Hahahaha, mpaka sasa hakuna kama Thanos mzeee. Yaani jinsi alivyomtwanga Hulk pale mwanzoni ndiyo niliogopa. Hulk alipigwa ngumi moja tu ya shingo hadi akasinyaa, sasa alivyoanza kupewa chai siyo kawaida aisee .
Iam with you on this

Cc: wick
 
Back
Top Bottom