Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh hapana, maana Sherlock alikuwepo kipindi cha Industrial Revolution.Hivi Sherlock ndio Inspector Gadgets!?.. Nimeikumbuka hiyo animation miaka flani ilikuwepo.
Hii animation inaonekana itakuwa bomba sana!.
Madirctor wenyewe wanatisha.Itakuwa nzuri sana hii, maana kuna Cristoph Waltz.....
Sijawasoma mzee, ni wakina nani ???Madirctor wenyewe wanatisha.
James Cameroon, Jon Landau na Robert Rodriguez.Sijawasoma mzee, ni wakina nani ???
Ila Spielberg kwenye Ready Player One amatisha sanaa sanaa!
Sijaicheki ila niliisoma sehemu.ni Series bomba?
Mimi ile ngumi ya shingo ndiyo iliniacha hoi, alipigwa moja akasinyaa akawa haamini amini hivi.Dah, hatimaye nimeicheki. nilikuwa nasubiria safisafi itoke. Hulk alipigwa kifuti kimoja matata sana.
Mzeee mimi nilikuwa naichukulia poa, nilivyoanza ya kwanza nikajikuta namaliza yote.Sijaicheki ila niliisoma sehemu.ni Series bomba?
Whaaat ???James Cameroon, Jon Landau na Robert Rodriguez.
Iam with you on thisHahahaha, mpaka sasa hakuna kama Thanos mzeee. Yaani jinsi alivyomtwanga Hulk pale mwanzoni ndiyo niliogopa. Hulk alipigwa ngumi moja tu ya shingo hadi akasinyaa, sasa alivyoanza kupewa chai siyo kawaida aisee .
Yeah mkuu nimeshaicheki hiyo, nilikua nasubiri hii Sky crapper tu!.. Ile rampage pale kwa yule fox uongo ulizidimkuu umeicheki Rampage?
Ni Action!?..Kuna hii A quiet place. Niliipenda sana.
Ila sherlock yupo vizuri sana hata series yake nayo cumberbatch kaipatia!...Mhhhh hapana, maana Sherlock alikuwepo kipindi cha Industrial Revolution.
Inspector Gadget ni wa kisasa ziadi