Movie/Series za kuweka mbali na watoto

Unfaithful
Basic Instinct
Monster's Ball
Caligula
Baby Boy
Blue Valentine
Muholland Drive
 
Embu weekend hii nitafute japo chache niangalie..Sina watoto jamani
 
✌nitazichek baby boy nishaiona
Kuna moja inaitwa love ni ya mwaka 2015 hii inamnyanduano mkubwa Sana lakini story sio nzuri kivile nyingine inaitwa "deep water" hii nimeipenda kwasababu ina story nzuri itakayokufurahisha na mnyanduano sio mkubwa kiivyo
 
Naona hapo mmeorodhesha filamu zenye maudhui ya ngono ngono kwamba hazifai kutazama.ila kuna filamu ambazo ukizitazama hakika zitakuHaribu kisaikolojia kiasi kwamba utaanza kujiuliza maswali kuhusu utu na ubinadamu. Ni filamu ambazo zimepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye kumbi za sinema sehemu mbalimbali duniani. Na filamu hizo ni SERBIAN FILM ya 2010 pamoja na SARO:100 days of sodomy.ya 1970s.hizi filamu mbili zimewekwa kwenye category ya experimental film na zinaonyeshwa kwa makundi maalum peke yake.
Ni filamu ambazo hakika zinatia mashaka hata walioigiza waliwezaje kufanya hivyo. ni filamu ambazo sishauri mtu azicheki if you wish watc for ur own mental risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…