Movie/Series za kuweka mbali na watoto

Hizo zinaonekana ni hatari sana, hadi kupigwa marufuku na kuwa chini ya uchunguzi [emoji848][emoji38][emoji119]
 

Ni 100 days au 120 days mkuu...? Unayo link yake hii kiongozi...?

Hiyo Serbian Film ya 2010 nimeipata bado hiyo Salo mkuu.

Thanking you in advance.
 
Wacha weeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii movie love story tamu sn,,
Jamaa mmoja tajiri Sana anatoka kuoa mke visiwani Brazil huko.
Anakodisha boat nzima.
Akiwa na mkewe na jamaa zake kurudi ulaya,
Boat inazama.
Wanajikuta kisiwani watu 2 Tu.
Bibi harusi na jamaa mmoja baharia very handsome.

Jamaa ambaye hata Bibi harusi aliwahi kumsifia ni mzuri hata mumewe akahisi wivu.

Baada ya siku 3 bwana harusi nae anaokoka ktk kisiwa kile kile na yule baharia anamuokota pwani akiwa hajiwezi.
Wanakuwa watu 3 mume,na mke na baharia,
Kwahali Ile iliyopo jamaa anaanza kuona wivu pengine Yule baharia kishakula mzigo kwa mkewe.

Hapo ndy movie linaanza rasmi.
Three arrived one survive.
Anapigwa mtu Pu***mbu humo kama hujakojowa wewe muone dakitari.
Hicho kipande cha mbususu nakirudiarudia sn nikizidiwaga.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh. Nimecheka kweli
 
Aloooooooo weeeeeeee,hebu tupe hints kidogo about them
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh. Nimecheka kweli
Hatari Sana mkuu,,
Halafu mtoto mzr sana wa kilatino
 
Ukimuona mwanamke anajua movies zote hizi muogope sana tena kama unaweza kukimbia bc Kimbia into the maximum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…