Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #101
Usipoteze muda wako na hiyo kituHuo upupu ctaki hata kuuangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipoteze muda wako na hiyo kituHuo upupu ctaki hata kuuangalia
Madogo waliomba niwapeleke wakaicheki nikasema nipepese macho nijionee kilichomo.Kwanza wewe mwenyewe haujiheshimu, ain't no way i am setting my eye on any SciFi movie made by Tanzanians. Ain't no fucking way.
Ninadhani walipaswa kuwaita curators waiangalie kabla ya public viewing.Nilitoa mawazo yangu mapema sana na kuikataa
Tukauliza IST 2061, wakasema ni ya Umeme
Tukauliza ya umeme model ya 2004 mwaka 2061?
Copy na paste ya lile gari la kwenye batman
Kiswahili hakifai kwenye movie za aina ile, narrators hawafai
Kama sisuNimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.
Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional actors si hao waliowatumia.
Theme ya movie haieleweki, yani ni vurugu tu. Azam wajipange upya.
Nilitoa mawazo yangu mapema sana na kuikataa
Tukauliza IST 2061, wakasema ni ya Umeme
Tukauliza ya umeme model ya 2004 mwaka 2061?
Copy na paste ya lile gari la kwenye batman
Kiswahili hakifai kwenye movie za aina ile, narrators hawafai
JF kuna wajuaji kazi kukosoa tengenezeni yenu tuone mfano
Kiswahili kina pooza muvi mfano action aya tamka kwa kiswahili, movi ni mbovu ila lugha pia inachangia
Bora ukapoteze muda na kamchepuko kuliko kwenda kuangalia hiyo movie hahaaa
Mimi sio mtu wa movie lakini kwa akili ya kawaida unategemea uangalie movie ya kibongo huku ukiwa na comparison na movie za Hollywood ? budget, technology, experience, skills and knowledge zina fanana? siwezi kwenda kuangalia mechi ya Yanga na Simba huku kichwani nikiwa na fikira za Real Madrid Vs Barcelona
Sasa nani amefanya comparison
Mleta mada anasema hiyo movie ni mbaya. Yani ni mbaya tu in general bila kulinganisha na Hollywood wala nini
Muvi ya EONII kama Eonii ndio inayolalamikiwa hapa, mleta mada kaangalia amesema Ile movie hakuna kitu.
Movie za Kibongo nyingi hata usipozilinganisha na Hollywood, zenyewe kama zenyewe tu hazina mvuto
Ajabu SasaKama sisu
bila shaka alafu wangemuomba juma khani atafsirKwa hio ingetumika English [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Azam lengo lao ni kurudisha pesa zilizotumika. Wakipata milioni 600 ni hora zaidi maana yake hapo wanatafuta watazamaji 300,000 kati ya 800,000hii movie mi sijafinikiwa kuiona ila kwa nilivoona tangazo lao nikawa nahic kabisa humu shughuli hamna na ile IST yao[emoji28][emoji28]alaf cjui kwa nn azam wanakuwa wanaipa movie fulani booooonge la promo lkn ukifanikiwa kuiangalia hamna kitu
Tatizo kubwa ni movie nzima imeratibiwa na watu chini ya 10Ninadhani walipaswa kuwaita curators waiangalie kabla ya public viewing.
Sijacomment chochote so far zaidi ya kucheka tu humu kwa sababu bado sijaiangalia movie yenyewe.Okay fine, mfano wewe ukiambiwa uonyeshe ni wapi wafanyie maboresho utawaambia waboreshe nini labda ?
[emoji3578]
Okay ukitulia kuangalia unishtue na Mimi nije na pop corn zangu tuangalie pamojaSijacomment chochote so far zaidi ya kucheka tu humu kwa sababu bado sijaiangalia movie yenyewe.
Nikitulia nikaata wakati nitaangalia na nitatoa maoni yangu.
Mimi ni mdau mzuri wa michezo ya Azam TV hasa sinema hizi za kwetu,na nimekuwa nikifuatilia kituo kwa kituo.
Na huwa naandika sana maoni yangu kwenye pages zao huko,
Pa kupongeza napongeza sana
Pa kukosoa huwa nakosoa
Mchezo ukiwa mzuri huwa nasema pia
Na ukiwa mbaya naandika vilevile.