Movies 15 ambazo hupaswi kuzikosa kwenye Library yako muda wote

Ongeza behind an enemy line, blood and bones, captain Philip, acapolyto, salt, undisputed zote
 
Unazingua
 
The old guard ni komesha
 
13 hours
Black hawk down
Tears of the sun


Hii mizigo kama huja waji kuiona itafuteee. Futa mizigo yote lakini sio hii hai choshi miaka yote
 
Kuna "ong bak"mmeisahau wazee..toni jaa alipiga mkono wa maana sana humo ndani

Ongezea na vigongo vya Ip man humo ndani donnie yen kafanya kweli sana
 
1,2, na 6. [emoji3578][emoji3578][emoji3578] You nailed it
 
Good old memories
 
Kwa faida ya wengine pia Kuna
1. Show down in little Tokyo - mzee baba Gary hiroyuki tagawa , tia carere,Brandon Lee na chapombe dolf
2. Dead or alive D. O.A -yupo mwanadada princess kasumi[emoji95][emoji95][emoji95]
3. WAR- jet LI vs Jason Statham [emoji108][emoji108][emoji108] hakika Kuna kichapo humo
4. Unleashed yake jet LI na mzee Morgan Freeman [emoji95][emoji95][emoji95][emoji3577]
5. The raid ,undisputed ya chalii Iko uwais hakika mapot wa Indonesia waliteseka sana humu
6. Cradle to the grave ya gangsta d.m.x na jet LI na mrembo Aaliyah r.i.p
7. Broken path au broken fist au ukipenda iite attack of the Yakuza zilichapwa [emoji2935][emoji2935][emoji2936] humo Japo hii movie sio popular.
8. Naked weapon [emoji39][emoji39][emoji39] ndo utajua ashki zako zinaweza kutumika kukudedisha

9. Na zingine nyingi....
Kwa wapenzi wa horror pia mnazikumbuka hizi nadhani

10.Saw ya mzee crammer the specialist machine killer[emoji95][emoji95][emoji95][emoji28]
11. MIRROR ya mzuka wa mrembo mmoja kwenye kioo
12. Final destination 5 (watching you step) hii ndio my best movie kwenye franchise nzima.
13.the night on elm street... Jamaa anayeua watu ndotoni
14 THE EXORCIST tambara lililotoka miaka ya mwanzoni mwa 1970s . hakika lilinitisha sana hili dude.[emoji36][emoji36] Na imepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye Baadhi ya nchi za ulaya ikiwemo uingereza.
Zingine Kuna
The Manchurian candidate ya Denzel Washington (napendekeza uitazame kama wewe unapenda kujua mipango ya Siri na za kutisha za haya mashirika ya kijasusi kama CIA

The bullet proof monkey ya chow Yun fat[emoji95][emoji95][emoji95][emoji39].

Asee list ni Kubwaa [emoji125][emoji125]
 
Kwani APOCALYPTO ni kizazi gani kama sio cha kina shumileta..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…