Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Mkuu umenikosha Sana hapo "adui ana mkono wa chuma" [emoji28] bila Shaka unamaanisha blood Moon ya Gary Daniels. Movie kali kinyama. Mkuu hebu nikumbushe jina la Ile movie ya jamaa alitumwa kumuua boss. Alienda akazama uvunguni mwa gari Ile boss anatoka Tu kanisani alichapwa risasi nyingi Sana. Basi wapambe wa boss wakaamza kumsaka jamaa hapo ndo kuna balaa. Kuna jamaa alikua kishingo anapiga mkono balaaLIsti haijakamilika, sijaziona
Komando kipensi,
Anodi ya jeni
Vandame wawili
Dame na tompoo
Jackie chain, kipanya msosi
The hard way, mniga analiwa na mamba
Anodi ya jini.
Frank zagarino, mavet mtanikoma
Adui ana mkono wa chuma
Jack chain mmasai
Mark dagascos na rasta
No retreat, matias na kisima cha mamba
Na nyingine kibwena.. enzi hizo movie lazima ipate jina la AKA.
Halafu mfasiri awe marehemu lufufu.