Movies 15 ambazo hupaswi kuzikosa kwenye Library yako muda wote

Mkuu umenikosha Sana hapo "adui ana mkono wa chuma" [emoji28] bila Shaka unamaanisha blood Moon ya Gary Daniels. Movie kali kinyama. Mkuu hebu nikumbushe jina la Ile movie ya jamaa alitumwa kumuua boss. Alienda akazama uvunguni mwa gari Ile boss anatoka Tu kanisani alichapwa risasi nyingi Sana. Basi wapambe wa boss wakaamza kumsaka jamaa hapo ndo kuna balaa. Kuna jamaa alikua kishingo anapiga mkono balaa
 
No 5 na 8 NI kisanga... [emoji2]
 
Yes, mtaalam gary daniels ..

Hiyo movie jina lina kuja na kukata.
 

Kwenye hii list sina hata movie moja hapa [emoji119][emoji119]. Wife anajaza wakorea tu kwenye external yangu[emoji23][emoji23]
 
Kwangu

Years of the Sun
Saving private Ryan
Black hawk down
Fury
 
Kwenye hii list sina hata movie moja hapa [emoji119][emoji119]. Wife anajaza wakorea tu kwenye external yangu[emoji23][emoji23]
Dahhh....hizo movie zote hata uzirudie vipi utaziangalia na adrenalin ipo juu muda wote kama hujui kinachojiri kumbe movie yote ushaingalia.
 
Kama hujaweka The shawshank redemption! Bas hamna kitu apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…