Movies kali za weekend hii (Session 06)

Movies kali za weekend hii (Session 06)

Ya kawaida sana.
Bwana blacksamurai, unajua mambo ya filamu ni 'subjective', kila mtu na ladha yake. Yaweza filamu fulani unayoiona wewe ya kawaida tu, ndo yaongoza kwa kuingiza pesa ndefu ulimwenguni, au filamu yenye rate kubwa tu lakini wewe ukaitazama na kuiona ya kawaida tu.

Labda ungetuambia kwanini wewe umeiona filamu hiyo kuwa ya kawaida...
 
Hahaha movies za hivi zina raha yake aisee. Unaona kabisa watu waliutumia muda wao vizuri kucheza na state of deception.

Vipi ushatazana 1BR?
Mkuu ebu hiyo nayo uje uilete siku moja nayo uitolee maelezo
 
mkuu SteveMollel Naomba utuwekee sub title ya english ya Mulan, nimejaribu kuitaduta bila mafanikio
 
Harafu ukiwa unatuwekea dizaini kama ya Vivarium,1br, Ghost of war, naona huwa naenjoi sana maana unakamia movie weee harafu baadaye mwishoni wanakuacha kama mjinga flani hivi
 
Harafu ukiwa unatuwekea dizaini kama ya Vivarium,1br, Ghost of war, naona huwa naenjoi sana maana unakamia movie weee harafu baadaye mwishoni wanakuacha kama mjinga flani hivi
Hahahaha mwisho wa siku unajua hujui!

Sema kuhusu VIVARIUM kwa watu ambao hawapendi 'tragic end' itawauma maana haiishi vile wewe utakavyo iishe ... sasa hapa ndo mtu anakuja kusema movie mbaya hii [emoji38][emoji38]
 
Haaaa haaa sema mkuu mimi huwa nazipenda sana hizo, kama jana ghost war nimeipenda kinyama mtu unaweza kujua ni ya kivita kumbe na horro, thiller zimo
 
Haaaa haaa sema mkuu mimi huwa nazipenda sana hizo, kama jana ghost war nimeipenda kinyama mtu unaweza kujua ni ya kivita kumbe na horro, thiller zimo
Horror na thriller zina raha yake ya kipekee, huwezi fananisha na Dramas.

Umeitazama YOU SHOULD HAVE LEFT?
 
Movies mpya hizi ndugu yangu, mpaka tungoje kidogo ndo' subs ziwe tayari. Wamejitahidi kwani wametumia kiingereza ndani
Eeh bana sema Mulan nilicheck animation yake nikajua tu kwenye watu wa ukweli itakuwa kali maana namjua Disney kwenye Beauty and the beast, na Cinderella haloo hao tuwaache tu
 
Eeh bana sema Mulan nilicheck animation yake nikajua tu kwenye watu wa ukweli itakuwa kali maana namjua Disney kwenye Beauty and the beast, na Cinderella haloo hao tuwaache tu
Hahaha movie ni kali mzee. Inastahili muda na bundle kabisa.

Hujanijibu hapo juu mzee?
 
Horror na thriller zina raha yake ya kipekee, huwezi fananisha na Dramas.

Umeitazama YOU SHOULD HAVE LEFT?
Mule mule mie tena nilicheck mzee zote si unajua mtaalamu mwenyewe nazipata kwao, ukiielezea tu najua hii movie kali
 
Back
Top Bottom