blacksamurai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 387
- 646
Ya kawaida sana.Hebu ifuatilie THE OLD GUARD utuletee nondo zake hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kawaida sana.Hebu ifuatilie THE OLD GUARD utuletee nondo zake hapa
Bwana blacksamurai, unajua mambo ya filamu ni 'subjective', kila mtu na ladha yake. Yaweza filamu fulani unayoiona wewe ya kawaida tu, ndo yaongoza kwa kuingiza pesa ndefu ulimwenguni, au filamu yenye rate kubwa tu lakini wewe ukaitazama na kuiona ya kawaida tu.Ya kawaida sana.
Mkuu ebu hiyo nayo uje uilete siku moja nayo uitolee maelezoHahaha movies za hivi zina raha yake aisee. Unaona kabisa watu waliutumia muda wao vizuri kucheza na state of deception.
Vipi ushatazana 1BR?
Bado mkuu ya nani hiiHahaha movies za hivi zina raha yake aisee. Unaona kabisa watu waliutumia muda wao vizuri kucheza na state of deception.
Vipi ushatazana 1BR?
Upo kule Telegram?Bado mkuu ya nani hii
Ushaitazama mkuu?Mkuu ebu hiyo nayo uje uilete siku moja nayo uitolee maelezo
Kweli si nami mambo mengi kweli, nimekuja kuona kumbe nilishaiyona aiseeUshaitazama mkuu?
Ulishaichekigi na ile VIVARIUM?Kweli si nami mambo mengi kweli, nimekuja kuona kumbe nilishaiyona aisee
Yeah mzee hizo nakumbuka ulizielezeaUlishaichekigi na ile VIVARIUM?
1BR inaelekea kufanania na VIVARIUM kwa kiasi fulani kwamba concept ni apartment horror.Yeah mzee hizo nakumbuka ulizielezea
Hahahaha mwisho wa siku unajua hujui!Harafu ukiwa unatuwekea dizaini kama ya Vivarium,1br, Ghost of war, naona huwa naenjoi sana maana unakamia movie weee harafu baadaye mwishoni wanakuacha kama mjinga flani hivi
Movies mpya hizi ndugu yangu, mpaka tungoje kidogo ndo' subs ziwe tayari. Wamejitahidi kwani wametumia kiingereza ndanimkuu SteveMollel Naomba utuwekee sub title ya english ya Mulan, nimejaribu kuitaduta bila mafanikio
Haaaa haaa sema mkuu mimi huwa nazipenda sana hizo, kama jana ghost war nimeipenda kinyama mtu unaweza kujua ni ya kivita kumbe na horro, thiller zimoHahahaha mwisho wa siku unajua hujui!
Sema kuhusu VIVARIUM kwa watu ambao hawapendi 'tragic end' itawauma maana haiishi vile wewe utakavyo iishe ... sasa hapa ndo mtu anakuja kusema movie mbaya hii [emoji38][emoji38]
Horror na thriller zina raha yake ya kipekee, huwezi fananisha na Dramas.Haaaa haaa sema mkuu mimi huwa nazipenda sana hizo, kama jana ghost war nimeipenda kinyama mtu unaweza kujua ni ya kivita kumbe na horro, thiller zimo
Eeh bana sema Mulan nilicheck animation yake nikajua tu kwenye watu wa ukweli itakuwa kali maana namjua Disney kwenye Beauty and the beast, na Cinderella haloo hao tuwaache tuMovies mpya hizi ndugu yangu, mpaka tungoje kidogo ndo' subs ziwe tayari. Wamejitahidi kwani wametumia kiingereza ndani
Hahaha movie ni kali mzee. Inastahili muda na bundle kabisa.Eeh bana sema Mulan nilicheck animation yake nikajua tu kwenye watu wa ukweli itakuwa kali maana namjua Disney kwenye Beauty and the beast, na Cinderella haloo hao tuwaache tu
Mule mule mie tena nilicheck mzee zote si unajua mtaalamu mwenyewe nazipata kwao, ukiielezea tu najua hii movie kaliHorror na thriller zina raha yake ya kipekee, huwezi fananisha na Dramas.
Umeitazama YOU SHOULD HAVE LEFT?
Tayari mzeeHahaha movie ni kali mzee. Inastahili muda na bundle kabisa.
Hujanijibu hapo juu mzee?