Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
SureNaona siku hizi kuna utaratibu wa movie kutokuisha kabisa, hiyo itakuwa kama John wick yani unaona kabisa kuna muendelezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureNaona siku hizi kuna utaratibu wa movie kutokuisha kabisa, hiyo itakuwa kama John wick yani unaona kabisa kuna muendelezo.
sijakuelewa mkuuEmbu tupeane basi taarifa kuhusu Internet, unazidosha vipi hizi mambo
Data unatumia ipisijakuelewa mkuu
Natumia halotel bando la usiku from 6p.m-12a.m , internet bila kikomo kwa 1500/= ,mkuuData unatumia ipi
Anhaa,N
Natumia halotel bando la usiku from 6p.m-12a.m , internet bila kikomo kwa 1500/= ,mkuu
Huwa natumia PC kupakua ila nacconect hotspot kweny simu ,,, spid yake intgemea simu kam smu n 4G hapoo itkmbizaa ,,pia 3G .. ila mi kwa sehemu nlipo naona iko fresh nkiplan kukesha kupakua movie minimum ni movie 8 hv na zote zina range kweny 1GB sizeAnhaa,
Vip speed yake?
Poa mkuu,Huwa natumia PC kupakua ila nacconect hotspot kweny simu ,,, spid yake intgemea simu kam smu n 4G hapoo itkmbizaa ,,pia 3G .. ila mi kwa sehemu nlipo naona iko fresh nkiplan kukesha kupakua movie minimum ni movie 8 hv na zote zina range kweny 1GB size
yap yap mkuuPoa mkuu,
Nilikua natafuta Sana hii kitu. Ni line yoyote ya Halotel itakua na hiyo access?
Natumiaaa Lightdownloads mzeee ..Unapakua website gani mkuu?!
UUCHEBE U-Chen’sHahahaa nishashindwa kabisaa mkuu ,sina mzuka nazo..
Nipe movie kali boss unayoipata latest
Ni kweli imekuwaHii na predict itakuja Part 2. Yule mgumu alivyojirusha kwenye maji atakuwa hakufa atapona (stelingi hauawi...😁). Halafu mob ya Bangladesh itafanya jaribio lingine la kumteka yule dogo.
Au wanaweza tengeneza extraction nyingine....kwa kifupi ile movie wamejipanga kama series....