Movies: Nimeamua kukesha leo nipakue movie, wakuu naomba movie zile latest kali nianze nazo kwa usiku wa leo

Anhaa,
Vip speed yake?
Huwa natumia PC kupakua ila nacconect hotspot kweny simu ,,, spid yake intgemea simu kam smu n 4G hapoo itkmbizaa ,,pia 3G .. ila mi kwa sehemu nlipo naona iko fresh nkiplan kukesha kupakua movie minimum ni movie 8 hv na zote zina range kweny 1GB size
 
Poa mkuu,
Nilikua natafuta Sana hii kitu. Ni line yoyote ya Halotel itakua na hiyo access?
 
Hii na predict itakuja Part 2. Yule mgumu alivyojirusha kwenye maji atakuwa hakufa atapona (stelingi hauawi...😁). Halafu mob ya Bangladesh itafanya jaribio lingine la kumteka yule dogo.
Au wanaweza tengeneza extraction nyingine....kwa kifupi ile movie wamejipanga kama series....
Ni kweli imekuwa
 
Back
Top Bottom