Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

Hata Kanumba alikua anambaka Lulu maana Lulu alikua under age na Kanumba alikua anajua Hilo pasi na shaka, ukiachilia mbali utofauti mkubwa wa maumbile yao ya nje. Lulu ni victim kwenye ile kesi ila wabongo sababu marehemu hasemwi vibaya basi Lulu kala nondo kadhaa jela
 
Ndio inavyokuwaga Mungu awatie nguvu tu hao mademu kama nawaona
Hata wewe mdogo wangu,unalia kwa vibration tu! maana kale kasauti kake kalikuwaga kanachowachoma kihisia! kama ile kitu yetu!
 
Duh! Nimemuogopa huyo Kasuku na hiyo prophecy aliyofanya juu ya marehemu.
RIP Mowzey Radio
 
Pia pamoja kwa Weasel ni kaka Jose chameleon walishawahi kua na ugovi na José
 
Aliwezaje kupendwa na ukorofi wote huo!?
Ana kipaji kikubwa cha asili, yy na weasley kundi lao ni noma sana , pia ana muonekano mzuri na sauti ndio hatari , kwa kipaji chake sidhani kama eac kuna mtu anamfikia , Rip radio
 
mimi hata nilikuwa simjui, nimeanza kumtafiti jana niliposikia kuna msanii amekufa kwa kupigana na m7 hadi alimchangia hela apone,..ndio sura yake nikaifahamu ila nilikuwa simjui. uganda nilikuwa namjua tu camelion na juliana etc....
Wabongo wengi hawamjui radio , hila mshikaji alikuwa very very talented, nimemjua toka 2009 ,tatizo halikuwa haimbi sana kiswahili
 
Ana kipaji kikubwa cha asili, yy na weasley kundi lao ni noma sana , pia ana muonekano mzuri na sauti ndio hatari , kwa kipaji chake sidhani kama eac kuna mtu anamfikia , Rip radio
Hizi sifa za marehemu[emoji23] , kabla ya kifo chake sijawahi ona thread inayomuhusu hata1 hapa JF
 
Clip yenyewe ya ugomvi ndio hiyo
Wewe naakili yako unaamini hiyo ndo clip yenyewe

Huoni hata muonekano wa mtu kwenye hiyo clip ni tofauti kabisa na Radio, hata lugha na mazingira ni tofauti kabisa

Kweli wabongo wape habari tu picha/video wataweka wenyewe
 
Leta ya kwako maana unaleta u sokomoko chapombe
 
Reactions: y-n
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…