Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

Kale ka inshu ka kubwia ngada naona umekasahau mshana jr, ukiwa hata umelewa kwa kilevi kimoja kama mimi wa charlz glass, yasingetokea haya, ngada zilikuwa zimkolea high zaidi ya hi5! Na ile kutaka anyenyekewe as vip wakati club wote ni flat-rate!
Hapa ndio umeongea.
 
Ww tukiorodhesha toka utoto wako hadi kufikia hapo umegomnana na wangapi? Utasimama?
 
Hapa ndio umeongea.
NADHANI NINGEKUWA KARIBU YAKO, NAWEWE, UNGENIBARIKI MAMBO YETU YALE! JIMAMA! EEH MAMA MAANA USHAURI KAMA HUU ALIKUWAGA ANAUTOA ALBERT EINSTEIN! BINGWA LANGU LA FIZIKIA!...
 
Ipo maeneo gani hiyo video? Niandike nini ku-retrieve?
 
UMEMJIBU KWA JICHO LA TATU, AKIWEZA KUNG'AMUA HICHI ULICHOMWAMBIA, UNIBEEP! VIJANA WA KIZAZI HIKI CHA NYOKA! WANASOMA PASIPO KUELEWA CONCEPT!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sasa uko kuzimu ataeleza vizuri kwanini alikuwa mtata ...r.i.p
 
Radio alikuwa na kipaji

Pumzika kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…