lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Eti wabongo wengi hawamjui radioWabongo wengi hawamjui radio , hila mshikaji alikuwa very very talented, nimemjua toka 2009 ,tatizo halikuwa haimbi sana kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wabongo wengi hawamjui radioWabongo wengi hawamjui radio , hila mshikaji alikuwa very very talented, nimemjua toka 2009 ,tatizo halikuwa haimbi sana kiswahili
Sasa unabisha mkuu ? Soma thread kuna watu wanakwambia ndio leo wanamsikiaEti wabongo wengi hawamjui radio
VP mtemi wameshamuachia.Toka lini mwanamke akadoda wewe
Halaf bikra ndio nini
Hapa ndio umeongea.Kale ka inshu ka kubwia ngada naona umekasahau mshana jr, ukiwa hata umelewa kwa kilevi kimoja kama mimi wa charlz glass, yasingetokea haya, ngada zilikuwa zimkolea high zaidi ya hi5! Na ile kutaka anyenyekewe as vip wakati club wote ni flat-rate!
NADHANI NINGEKUWA KARIBU YAKO, NAWEWE, UNGENIBARIKI MAMBO YETU YALE! JIMAMA! EEH MAMA MAANA USHAURI KAMA HUU ALIKUWAGA ANAUTOA ALBERT EINSTEIN! BINGWA LANGU LA FIZIKIA!...Hapa ndio umeongea.
MIMI NAWAONEA HURUMA NYINYI WATOTO WA KIKE! SIJUI MLIMPENDEA KALE KA SAUTI! HATA MIMI NNAKO!
"ABILITY" UMEISAHAU?, ULE WIMBO WA BLUE3 WHERE U ARE? GOLDEN TALENTS COMES ONES IN A LIFE TIME! RADIO GONE FOR GOOD!.Mi namkumbuka sana hasa kwa song lao na wesal la "Bread and butter"
HAO WALIOKUWA HAWAMJUI BINGWA LANGU LA VOCALIST,RADIO,NADHANI WAPIMWE AKILI!Sasa unabisha mkuu ? Soma thread kuna watu wanakwambia ndio leo wanamsikia
UMEMJIBU KWA JICHO LA TATU, AKIWEZA KUNG'AMUA HICHI ULICHOMWAMBIA, UNIBEEP! VIJANA WA KIZAZI HIKI CHA NYOKA! WANASOMA PASIPO KUELEWA CONCEPT!Tatizo kizazi... Takwimu..!!! Kufyatua....!!!!
Ela.Aliwezaje kupendwa na ukorofi wote huo!?
Ipo maeneo gani hiyo video? Niandike nini ku-retrieve?Maskini mozey daah sikuona hii video yani karushwa kama mbwa maranyingi watu wakilewa akili kidogo zinabebwa na kilevi angemchukulia poa tu kwani alikua na silaha kumjeruhi mtu daah! Hajui kaumiza watu wangapi waliokua wanamtegemea mozey
huyu baunsa hana maadili ya kazi anajua club watu wanakunywa pombe wanalewa na ndio sehemu ya mshahara wake unapotoka hakika kwa kitendo na yeye kamba ipite shingoni analeta mambo ya wwe mieleka club maskini mozey
Rest in eternal peace[emoji120]
Duh!!! Siwaanza kurandarana mitani kama paka wa SINZA.Said 42+