Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

Ni kweli kabisaa usemayo. Nipo zaidi ya serious! Yaani namaanisha toka moyoni mwangu kuwa nahitaji mwanamke wa kujenga familia bora pamoja ambaye naye toka moyoni mwake pia ana uhitaji na anataka aheshimike kuwa Mrs somebody.

Hivyo niseme tu 'karibu kwa mwanamke mwenye uhitaji " tufanye maisha ya upendo, furaha na amani pamoja 🙏
Hebu wasiliana na huyu Amie whitney .

Ukiachana na mapungufu ya huyo binti ambayo ameyaweka wazi, Kwa maelezo yenu inaonesha wote mna uhitaji wa kweli wa mwenza,
Mungu akujaalie hitaji la moyo wako.

Ulete mrejesho!
 
Mimi huwa nikiona mtu anatupa jiwe gizani kiasi Hiki,,,,, huwa napata wasiwasi sana!!!
Huenda muhusika akawa na shida isiyobebeka au kapungufu makubwa ya kimaumbile.

Maana sio hali ya kawaida mtu ukose mke mpk uje kuweka bango mtandaoni Kwa watu usiowafaham, ndoa sio jambo la mzaha kias hiki
 
Jina la kiislam napitia juujuu tu..Leo nikaona nichungulie yaliyomo nakutania na bango la waefeso sura ya Tano

Unanichanganya
 
Back
Top Bottom