Sasa Tundazuri wewe ni ghashoNitamuwelekeza awasheje huo moto wenyewee
Atawezana na hilo Rinda hapo nyuma kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Tundazuri wewe ni ghashoNitamuwelekeza awasheje huo moto wenyewee
Pesa tunayo, mikakati ipo, mipango tunayo,Kamati tumejipanga
Hebu wasiliana na huyu Amie whitney .Ni kweli kabisaa usemayo. Nipo zaidi ya serious! Yaani namaanisha toka moyoni mwangu kuwa nahitaji mwanamke wa kujenga familia bora pamoja ambaye naye toka moyoni mwake pia ana uhitaji na anataka aheshimike kuwa Mrs somebody.
Hivyo niseme tu 'karibu kwa mwanamke mwenye uhitaji " tufanye maisha ya upendo, furaha na amani pamoja 🙏
Moto wa gesiNitamuwelekeza awasheje huo moto wenyewee
Siwezi kubutua lazima niipate target😀Ndio ufunge sasa sio tena unabutua mpira nje🤣🤣🤣🤣
Haya usike ukapiga penalty kama ya aziz ki 🤣🤣🤣Siwezi kubutua lazima niipate target😀
Moto wa nyamaMoto wa gesi
[emoji23][emoji23][emoji23]