Moyo mpweke pita hapa upate faraja

Moyo mpweke pita hapa upate faraja

60db599be09146ecb1fa76cb29637784.jpg
 
Nachoweza kusema, kama unaweza anza kutimiza malengo ya maendeleo yako, kabla hujaingia kwenye mapenzi miguu miwili.

Nawaombea wote wenye changamoto za kidunia. Mwenyezi Mungu akawaguse, wapone mioyo na wapate haja za mioyo yao. Duniani tunapita...
 
Kasie weshu wapi wewe

Nzeze weangu...!!😀

Kuna habari iko hivi...
Binti wa miaka kato ya 30 na 40, huku na kule kakutana na mahusiano akapata mtoto katika umri huo kabla hawajaamua kufunga ndoa mtoto akafa. Mwaka uliofuata wakaona na waliyezaa nae, miezi miwili baada ya ndoa yao binti anaumwa ghafla maumivu ya mifupa na kuaga dunia.

Simple like that......🤔🤔🤔

Binti ana wazazi, ana ndugu ana marafiki ambao walihusiana kipindi cha uhai wake... kwenye shida na raha...

Binti kazikwa kabya ya kufikia miaka 40 na hakuacha mtoto, kaacha wazazi na mume.

Mioyo ya waliokuwa karibu naye imeumia, imevuja damu, imevunjika na kupondeka...
Wanahitaji tumaini la kusonga mbele.

Waume, niungie miundi.
 
In

Inaumiza sana unaishi na mke wako miaka kumi na tano ya ndoa mna watoto wakutosha, Inatokea Anafirw** na boda huko anakuona mume huna ishu na anataka muachane,
Kimya kimya unashangaa tu talaka ipo mezani tena hivi viajiriwa ndiyo tabu tupu!
Ngumu sana kuhimili hii lakini ukiwaangalia tu wanao unapata faraja ya ajabu
 
Nzeze weangu...!!😀

Kuna habari iko hivi...
Binti wa miaka kato ya 30 na 40, huku na kule kakutana na mahusiano akapata mtoto katika umri huo kabla hawajaamua kufunga ndoa mtoto akafa. Mwaka uliofuata wakaona na waliyezaa nae, miezi miwili baada ya ndoa yao binti anaumwa ghafla maumivu ya mifupa na kuaga dunia.

Simple like that......🤔🤔🤔

Binti ana wazazi, ana ndugu ana marafiki ambao walihusiana kipindi cha uhai wake... kwenye shida na raha...

Binti kazikwa kabya ya kufikia miaka 40 na hakuacha mtoto, kaacha wazazi na mume.

Mioyo ya waliokuwa karibu naye imeumia, imevuja damu, imevunjika na kupondeka...
Wanahitaji tumaini la kusonga mbele.

Waume, niungie miundi.
Mioyo ya waliokuwa karibu naye imeumia, imevuja damu, imevunjika na kupondeka...
Wanahitaji tumaini la kusonga mbele.🥺😪😭
 
In

Inaumiza sana unaishi na mke wako miaka kumi na tano ya ndoa mna watoto wakutosha, Inatokea Anafirw** na boda huko anakuona mume huna ishu na anataka muachane,
Kimya kimya unashangaa tu talaka ipo mezani tena hivi viajiriwa ndiyo tabu tupu!

Ukiondoa afya ya akili wanazokuwa nazo watu kutokana na namna tofautitofauti, hadi mtu anafanya maloloso ujue kuna mahala kulikuwa na kianzio na kisababishi.

Kila mtu angejali nankulinda utu wake kabla ya wengine, mengi yangeepushwa.
 
Binafsi siwezi kuacha kupenda
Tupo na mapenzi hadi yatuue, tukiachwa tunapenda tena,yaani ngijanginja tutapumzika huko mbeleni
Mapenzi hayaishi fasheni ndio maana tunapenda tena na tena
 
Back
Top Bottom