Moyo mpweke pita hapa upate faraja

Moyo mpweke pita hapa upate faraja

IMG-20241023-WA0057.jpg
 
Usikae kinyonge

Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho

Pita hapa uone pia shuhuda za wengine
Changamoto za kipato
Changamoto za ajira
Changamoto za kimaumbile (vibamia nk)
Changamoto za mahusiano (usaliti kuachwa nk)
Changamoto za kifamilia
Changamoto za ndugu
Changamoto kazini nknk
Karibu wewe mpweke na uliye karibu kukata tamaaView attachment 3133609
Moyo SukuMa damu,haya mengine tutapambana
 
"Hisia za huzuni huwa ni mgeni anayekuja kukutembelea na kuondoka haijalishi unapitia nini Amini kuwa hili nalo litapita tu "
 
Back
Top Bottom