Moyo mpweke pita hapa upate faraja

Ni ukweli wenye uchungu kwamba nyakati nyingine mahusiano au ndoa inaweza kuvunjika kwa njia isiyotarajiwa na yenye kuumiza. Lakini, kubwa, huwa ni kusahau na kusonga mbele.
 
Ni ukweli wenye uchungu kwamba nyakati nyingine mahusiano au ndoa inaweza kuvunjika kwa njia isiyotarajiwa na yenye kuumiza. Lakini, kubwa, huwa ni kusahau na kusonga mbele.
Lakini, kubwa, huwa ni kusahau na kusonga mbele.💪🏿📌🔨
 
Binafsi siwezi kuacha kupenda
Tupo na mapenzi hadi yatuue, tukiachwa tunapenda tena,yaani ngijanginja tutapumzika huko mbeleni
Mpaka yawaue usiache bff 😹😹😹

Kuna kitabu nakutumia usome ili upunguze huo ujinga
 
Kuna muda maisha yanakuchapa hadi unatamani uachane na mpenzi wako tuu, kwasababu unaona u do not deserve kua nae unamtesa tuu na promise fake zisizotimia.
 
Kuna muda maisha yanakuchapa hadi unatamani uachane na mpenzi wako tuu, kwasababu unaona u do not deserve kua nae unamtesa tuu na promise fake zisizotimia.
Your browser is not able to display this video.
 
Jamani hakuna mrembo anayehitaji faraja ya kufarijiwa weekend hii!?😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…