Moyo mpweke pita hapa upate faraja

Ishini na hizi wanangu. Ziko kama fote hivi.. Hammers kukosa mbili tatu kila mmoja wenu za kukupa tumaini jipya, nguvu mpya nk
Ni za kizungu tupu😀
 

Tusihukumiane maisha yana mafundisho mengi, watu hujifunza na kubadilika
 

 
Ndio maana huwa napenda kuskusema .. Wapuuzi hupuuzwa ...! Hawajibiwi
 
Kwa wale wanaopitia changamoto za kipato na ajira
 
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno
 

Usiumizwe na kupata stress na mtu asiye na shukrani wengine wameumbwa hivyo
 

Attachments

  • FB_IMG_1730159663696.jpg
    38.3 KB · Views: 3
Sio haters wote ni chuki wengine ni mapepo😂
 
🙏🏿🙏🏿💪🏿📌❤
 
Mungu yupo na anatenda usikate tamaa mpendwa..
 
Baltalization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…