funguka zaidi...lakini walimu wengi huwa katili sana kwa watoto wa kambo bora manesi. Japo manesi kutokana na kazi yao kuwa na stress sana huwa wanaonekana hawajali familiaWakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.
Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi nimemuelewa make anashep, ni mkarim na mwenye upendo kwa watoto wangu ila kwenye suala la ndoa Moyo wangu umegoma
Imeisha hii,Wakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.
Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi nimemuelewa make anashep, ni mkarim na mwenye upendo kwa watoto wangu ila kwenye suala la ndoa Moyo wangu umegoma
Khaaaaaah, wagogo wamefanyaje tena?Ni mgogo ?
Huyo hakuPendI anakuigizia angekuwa anakupenda asingekulazimisha ndoa kiasi hicho angekupa muda utulie kwanza sasa cheki matokeo yake huo utam usikudanganye ana agenda zake huyo kataaa ndoa mkuuu usije ukalialia baadaeWakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.
Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi nimemuelewa make anashep, ni mkarim na mwenye upendo kwa watoto wangu ila kwenye suala la ndoa Moyo wangu umegoma
We hujui wanawake wwMwoe tuu,anakupenda
Nirushie pande Hilo,Wakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.
Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi nimemuelewa make anashep, ni mkarim na mwenye upendo kwa watoto wangu ila kwenye suala la ndoa Moyo wangu umegoma
AhahahahaMi huwa natamani kuoa mwalimu nakushauri usiogope Kama anaweza kufundisha wajinga 70 na wakaelewa we mjinga mmoja huwezi kumshinda
Ikumbukwe yeye ndio alinitongoza na kufunguka kuwa tuoane sifa zote anazo ila sasa Moyo wangu daahKama Umegoma mchane tu Kwamba nilikuwa napita tu
🤣🤣🤣Huyo anakufaa, kama mtu anaweza kuwatuliza wajinga zaidi ya 50 darasani hawezi kushindwa kuishi na wewe mmoja tu
Mkuu mimi ni wa 1984Moyo umegoma baada ya kula tamu yake siyo
Wanawake wanapitia kipindi kigumu sana na watoto wa miaka ya 90
MmakondeNi mgogo ?
Malizaneni huko huko.Wakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.