Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
funguka zaidi...lakini walimu wengi huwa katili sana kwa watoto wa kambo bora manesi. Japo manesi kutokana na kazi yao kuwa na stress sana huwa wanaonekana hawajali familiaWakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu.
Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi nimemuelewa make anashep, ni mkarim na mwenye upendo kwa watoto wangu ila kwenye suala la ndoa Moyo wangu umegoma