Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ilikuwaje afande akaachana na jeshi kisha akajiingiza katika siasa?Apumzike kada , Kapten John Komba
Yamebaki kuwa maandisiw yasiyo na faida
Somo la kujifunzaPole Sana Kijana Ila Baba yako alipata
FAVOR zote kubwa kubwa akiwa ccm ambazo watu wengi hawajawahi kuzipata. Mpaka anafariki baba yako alikuwa ni mbunge nadhani majibu ya mzee wa pwani yalimuumiza .
Alikuwa ana uwezo wa kuchukuliwa Mali zake zote na bado akarudi katika nafasi yake.
Uwekezaji wake wa shule haukumuendea vizuri kama alivyotarajia Ila hiyo ni changamoto na wanapitia watu wengi.
Sifikirii Kama ni busara na hekima kulalamika na kulaumu kwa MTU Kama yeye ambaye katika uhai wake kapata fursa zote hizo.
Deni lake la bil+ ilikuwa deni kubwa ambalo alitegemea serikali imlipie kitu ambacho kilishindikana.
So majibu yakukatiliwa kulipiwa deni lake ndo yalimpa sonona na kumnyima nguvu .
Somo la kujifunza
Asome katika kitabu cha jeremiya kinasema umsitegemee sana mwanadamu na usiiweke imani yako yote kwake.
Rip komba .
Yamebaki kuwa maandisiw yasiyo na faida
Leo umeandika madini sana💪🏿❤Pia kitu kingine MTU anapokuwa anamaliza muda wake huwa kunakuwa na accumulation hii IPO hata makazini MTU akija kustaafu huwa anabadilika Sana
Yaani Rais anapokuwa anamaliza muda wake anakuwa hayupo fit psychological sio yeye tu hata wasaidizi wake .
So kukatiliwa kulipiwa hizo billions kazaa sio yeye peke yake kuna watu wengi mzee alikataa kuwapa hela kipindi anaelekea kustaafu.
Hao ndugu wa kapteni komba wana tofauti gani na chawa wewe kitabia?Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba.
________________________________
Wakati namuuguza Marehemu Baba, siku moja nilimshuhudia akilia Machozi. Nilimuuliza, kuna tatizo gani Baba?
Akaniambia "Gerald, ndugu zako wananiua"... sikumjibu kitu, lakini lile neno lilijirudia mara mbili mbili katika akili yangu, baadae nikaona ni kauli ya kuipuuzia kwa sababu niliiona kama ilitoka kutoka kwa mtu imara sana ninayemjua muda wote, Baba asingeweza kukiri kitu kama kile, kwanza hakuwa mwepesi kuongea mambo mazito namna ile.
Baadae akaendelea "Gerald, leo Benki inanifilisi na mali zangu zinashikiliwa. Ndugu zangu wanafanya Sherehe, wanakula na kulewa kwa kuipongeza Benki kunifilisi. Hawa hawa niliowahifadhi, watoto wao walikuja kwangu uchi nikawavisha na wengine nikawasomesha. Kuna ambao leo wangekuwa magerezani au wangekuwa wamekufa lakini ni mimi nilietumia jina langu kuwatoa vifungoni na kuokoa uhai wao, leo narudi kwenye umasikini niliopambana nao hadi hapa nilipo lakini hao hao wanafanya Sherehe kuwapongeza Benki kunifilisi, kweli?"
Aliniambia Baba, na wiki iliyofuata akafariki dunia kwa msongo wa mawazo uliomshambulia sambamba na kisukari, ukawa mwisho wa kuonana na baba yangu na kuongea nae hapa Duniani... naumia sana.
Sijaandika ili nikuumize rafiki yangu hapana, natamani tu nikuambie mawili matatu, huenda ukaelewa sura halisi ya hilo tabasamu unaloliona la huyo kiumbe aliye mbele yako.
FAHAMU KWAMBA, Sio kila unayemsaidia atapenda mafanikio yako, unaweza kutoa kwa moyo kumbe unajipalilia miiba ndugu. Kepten Komba aliwasaidia watu ambao wakati mauti inamvuta katika shimo wao walikuwa wanasherehekea na kuipongeza benki kumfilisi.
Kwa akili za kawaida haiingii akilini lakini mwanadamu hana hofu ya Mungu japo anamtaja mara kwa mara "Bikira Maria Mama wa huruma tuombee"
Leo wale wale waliokuwa wakifurahi mwenzao akiaga dunia na kuanza maisha mapya ya kaburi ndio hao hao wanaita "Press conference" na kupitisha bakuli kwa viongozi wakubwa tu wa nchi, kwamba wanatafuta mtu mwenye sauti ya uimbaji kama ya Kepten John Komba, wakati Komba huyo huyo ana mtoto wake anayeimba sauti ile ile kama ya baba yake, na wanakula njama ili waue kipaji chake ili asisikike, na hawataki kabisa kusikia Komba ana mtoto mwimbaji. Eee Mungu Umezidi upole!!Fanya hima Baba kuisimamisha dunia ili nishuke maana dunia ina Mambo Magumu sana.
Rafiki nimeandika ili usije ukadhani watu wakubwa wanapokuja kwenu wakitabasamu, eti hawana majeraha katika mioyo yao, hapana, wako wanaolia na wanaowaumiza ni watu wa karibu yao sana lakini hawasemi.
Nakuandikia ili usije ukafikiria kwamba, unapomsaidia atakusaidia baadae, we toa tu, usikumbuke Shukrani, maana wanasema fadhila ya punda ni mateke.
Ukiendekeza nduguNdugu lawama
Ni kweli mkuu, ila hata huyu kijana kilio chake kimekaa kimchongo ni kama anataka upendeleo fulani sababu ya jina la baba yake,Ukiendekeza ndugu
Utavuna magugu
Utakufa kibudu
Na Mungu hutamwabudu
Litakuwa tu li adrizWe nawe hapa siyo Facebook asee!!
Kila Uzi unaweka mapicha picha yasiyohusina na mada husika.
Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba.
________________________________
Wakati namuuguza Marehemu Baba, siku moja nilimshuhudia akilia Machozi. Nilimuuliza, kuna tatizo gani Baba?
Akaniambia "Gerald, ndugu zako wananiua"... sikumjibu kitu, lakini lile neno lilijirudia mara mbili mbili katika akili yangu, baadae nikaona ni kauli ya kuipuuzia kwa sababu niliiona kama ilitoka kutoka kwa mtu imara sana ninayemjua muda wote, Baba asingeweza kukiri kitu kama kile, kwanza hakuwa mwepesi kuongea mambo mazito namna ile.
Baadae akaendelea "Gerald, leo Benki inanifilisi na mali zangu zinashikiliwa. Ndugu zangu wanafanya Sherehe, wanakula na kulewa kwa kuipongeza Benki kunifilisi. Hawa hawa niliowahifadhi, watoto wao walikuja kwangu uchi nikawavisha na wengine nikawasomesha. Kuna ambao leo wangekuwa magerezani au wangekuwa wamekufa lakini ni mimi nilietumia jina langu kuwatoa vifungoni na kuokoa uhai wao, leo narudi kwenye umasikini niliopambana nao hadi hapa nilipo lakini hao hao wanafanya Sherehe kuwapongeza Benki kunifilisi, kweli?"
Aliniambia Baba, na wiki iliyofuata akafariki dunia kwa msongo wa mawazo uliomshambulia sambamba na kisukari, ukawa mwisho wa kuonana na baba yangu na kuongea nae hapa Duniani... naumia sana.
Sijaandika ili nikuumize rafiki yangu hapana, natamani tu nikuambie mawili matatu, huenda ukaelewa sura halisi ya hilo tabasamu unaloliona la huyo kiumbe aliye mbele yako.
FAHAMU KWAMBA, Sio kila unayemsaidia atapenda mafanikio yako, unaweza kutoa kwa moyo kumbe unajipalilia miiba ndugu. Kepten Komba aliwasaidia watu ambao wakati mauti inamvuta katika shimo wao walikuwa wanasherehekea na kuipongeza benki kumfilisi.
Kwa akili za kawaida haiingii akilini lakini mwanadamu hana hofu ya Mungu japo anamtaja mara kwa mara "Bikira Maria Mama wa huruma tuombee"
Leo wale wale waliokuwa wakifurahi mwenzao akiaga dunia na kuanza maisha mapya ya kaburi ndio hao hao wanaita "Press conference" na kupitisha bakuli kwa viongozi wakubwa tu wa nchi, kwamba wanatafuta mtu mwenye sauti ya uimbaji kama ya Kepten John Komba, wakati Komba huyo huyo ana mtoto wake anayeimba sauti ile ile kama ya baba yake, na wanakula njama ili waue kipaji chake ili asisikike, na hawataki kabisa kusikia Komba ana mtoto mwimbaji. Eee Mungu Umezidi upole!!Fanya hima Baba kuisimamisha dunia ili nishuke maana dunia ina Mambo Magumu sana.
Rafiki nimeandika ili usije ukadhani watu wakubwa wanapokuja kwenu wakitabasamu, eti hawana majeraha katika mioyo yao, hapana, wako wanaolia na wanaowaumiza ni watu wa karibu yao sana lakini hawasemi.
Nakuandikia ili usije ukafikiria kwamba, unapomsaidia atakusaidia baadae, we toa tu, usikumbuke Shukrani, maana wanasema fadhila ya punda ni mateke.
Mbona kama unaficha ukweli Bwana...Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba.