kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Nimemuelewa, Dogo anataka achukue nafas ta mshua wake huko chamani,upande wa kuimba na kusifu.. mpeni Bhana
Nimemuelewa, Dogo anataka achukue nafas ta mshua wake huko chamani,upande wa kuimba na kusifu.. mpeni Bhana
Suala La yeye Kulia lia kwamba ndugu na jamaa wa Karibu wamewatelekeza Siliungi mkono kbs. Apambane naye kuanzia hapo alipopakuta Alipoacha mzee.
Akumbuke wapo Watoto wengine wengi hawajazaliwa kwenye familia kama yake wala hawana pa Msaada.
Baba kafanya alichoweza, kaandika historia yake kamaliza.Wema alioufanya ni faida yake kwa hatima yake mbele ya Mungu na Atapata thawabu zake.
Nitaunga mkono iwapo anacho kipaji kama cha Baba yake, hapo apewe nafasi huko Chamani..!asibaniwe ana kitu Mkononi mpeni platform.