Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Tenda wema uende zako

Lakini zaburi inasema: "Tazama ilivyo vema na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa umoja"

Lakini Ibirisi anasema, Tazama inavyopendeza ndugu wakitwangana mangumi na kurogana.
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa naona asilimia kubwa ya watu wenye pesa na kazi nzuri wana tofauti na familia zao yaani hawasemani wala kujuliana hali sasa hivi nimekuwa mungu ananijalia riziki naelewa kwa nn binadamu ni watu wenye chuki sana mungu atubariki wote.
 
Yamebaki kuwa maandisiw yasiyo na faida
Somo la kujifunza
Asome katika kitabu cha jeremiya kinasema umsitegemee sana mwanadamu na usiiweke imani yako yote kwake.
 
Yamebaki kuwa maandisiw yasiyo na faida
Leo umeandika madini sana💪🏿❤
 
Afrika hiyo ipo sana tu. Unaweza kumsaidia mtu kwq moyo mmoja, yule mtu akawa anakabwa na fukuto rohoni kwa wewe kuwa na uwezo wa kumsaidia yeye. Atakuroga na kuhakikisha unaanguka pamojana kupokea misaada yako. Bongo unafiki ni suala mtambuka
 
Jerry my classmate namfahamu siku nyingi toka tunasoma akili zake kwakweli zilikuwa hazifananini na yy kuwa mtoto wa mtu mzito by that time(he was very lazy and stupidy) nashukuru kuona siku hizi kakomaa kifikra mpaka ameweza kuandika haya. Kuhusu uimbaji kiukweli sidhani kama ana kipaji hicho cha baba yake toka kipindi hicho alikuwa ni mtu kuforce kipaji akijaribu kuimba nyimbo za kikongo(kuna band ilikuwa inaitwa baby TOT pale Mbeya)alikuwa ndo anaimbaimba kidogo wakija shule kutupigia disco lkn kuhusu kuimba kwa sauti ya mzee Komba labda sijui kwasasa.
But all in all ngoja tubaki kwenye message aliyotuachia kuna cha kujifunza kuhusu ndugu
 
Hao ndugu wa kapteni komba wana tofauti gani na chawa wewe kitabia?
 
Usiwe na matarajio yoyote kwa mtu yoyote na tuwe watu wa kutunza siri za maisha yetu na mali zetu..la sivyo utavuta chuki na vita usivyoviweza.
 

Mzee una hekima sana ukiacha zile mambo za hadithi za sangoma. Haya unayoeleza ni yale yale tunayopambana nayo tena mara nyingine mpaka kwenye nyumba za kuabudu.
Unakutana na mambo unashangaa inawezekanaje yanafanyika hapa tunapokuja kumpa Mwenyezi Mungu utukufu.
 
Mbona kama unaficha ukweli Bwana...
 
Nimemuelewa, Dogo anataka achukue nafas ta mshua wake huko chamani,upande wa kuimba na kusifu.. mpeni Bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…