Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke MMOJA TU, lakini hizi filimbi zetu huku chini ndio zinatamani Kila mwanamke πππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenah πππ yamekua hayo πππ½ββοΈππ½ββοΈπππkesho unahitajika kwenye kikao
Sisi tunawapenda wake zetu sema hawajui tu kule tunapoendaga ni kutokana na kero za wake zetu.Mkitutunzia amani home mbona mtafurahi tutakuwa tunarudi home mapema sana na tamthilia tutakuwa tunafuatilia pamoja
Umesahau mkonga WA tembo mkuuππWengine si filimbi ni tarumbeta mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine si filimbi ni tarumbeta mkuu.
You bubuno too muchSisi tunawapenda wake zetu sema hawajui tu kule tunapoendaga ni kutokana na kero za wake zetu.Mkitutunzia amani home mbona mtafurahi tutakuwa tunarudi home mapema sana na tamthilia tutakuwa tunafuatilia pamoja
Au sio ππKuna kaukwel kwa mbaaaaaaaaali
Whachu say?You bubuno too much