Moyo wako ulivutiwa na nini hasa kutoka kwake?

Moyo wako ulivutiwa na nini hasa kutoka kwake?

Habari ndugu zangu,

Kuna watu wapo kwenye mahusiano ya urafik, uchumba, ndoa na wapendwa wao ambao pengine kabla ya kujuana hawakuwahi kuwa na mazoe kabisa na walikuwa wakionana mara Kwa mara pasipokuwa na ukaribu.

Je, Ni kitu gan kilikuvutia kutoka kwake ukajikuta uponae karibu mpaka Leo na ulimuanzaje?
Nguvu kutoka juu ilituunganisha,yaani kama utani vile. Mungu atuongoze kuyafanya mapenzi yake kwa muda aliotupa wa kuishi hapa duniani 🙏
 
Utakuja kuachwa vibaya wewe mpk komwe likuchemke ulie kwa kugalagala huku ukiuma meno nakutapanya mavazi!, we penda kwa moyo wote uje uachwe kivyotevyote ati love is beautiful thing!, ngoja akubiutifule...🤣
Unampa michambo kijana mwenzio sio
 
Habari ndugu zangu,

Kuna watu wapo kwenye mahusiano ya urafik, uchumba, ndoa na wapendwa wao ambao pengine kabla ya kujuana hawakuwahi kuwa na mazoe kabisa na walikuwa wakionana mara Kwa mara pasipokuwa na ukaribu.

Je, Ni kitu gan kilikuvutia kutoka kwake ukajikuta uponae karibu mpaka Leo na ulimuanzaje?
Ile kuvuta skanka, subaru na kusali sana.
 
Back
Top Bottom