Moyo wako ulivutiwa na nini hasa kutoka kwake?

Moyo wako ulivutiwa na nini hasa kutoka kwake?

Mimi huyu mwanamke ni mvumilivu aisee hiki ndio kitu namkubali mwanajeshi wangu.Hakuna narudia tena hakuna mwanamke anaeza kunivumilia mimi hata kwa wiki.
 
Mie mtu akishakuwa tu serious halafu mkali mkali, Hapendi mazoea ya kijinga yaani awe anaogopwa na kila mtu[emoji13][emoji13],.

For the first time naonana nae sijui ndio alishavurugwa toka alikotoka, Alinikaripia vibaya mnooo hadi nililia nadhani alijiskia vibaya ikabidi aanze kunitafuta ili aniombe radhi.... Baasi ikawa jioni ikawa mchana Mwaka sasa...., Na mie tena navyopenda kudeka[emoji1][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hatariiii.
 
Back
Top Bottom