Moyo wako ulivutiwa na nini hasa kutoka kwake?

Nilivyotamani kwake kaondoka Nanyo nikaishii nae miaka 10

Akaniacha co ninae ishi nae Sasa kwa akili sana
 
Be blessed ๐Ÿ™
 
Mie mtu akishakuwa tu serious halafu mkali mkali, Hapendi mazoea ya kijinga yaani awe anaogopwa na kila mtu๐Ÿ˜๐Ÿ˜,.

For the first time naonana nae sijui ndio alishavurugwa toka alikotoka, Alinikaripia vibaya mnooo hadi nililia nadhani alijiskia vibaya ikabidi aanze kunitafuta ili aniombe radhi.... Baasi ikawa jioni ikawa mchana Mwaka sasa...., Na mie tena navyopenda kudeka๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nitakujibu wiki ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ