Moyo wangu umeangukia wanawake watatu humu na wote wamenikataa

Nna miaka 40
nmewafuata wanawake kama watatu inbox na wote wakanitolea nje
Nna kipato cha kati, ni muajiriwa naweza kutunza familia
maokoto yapo

kosa langu ni lipi?
Nafikiri kosa lako ni hili:


utoto


/utɔtɔ/


hali au tabia kama ya mtoto


Halafu ongezea na hili:


limbukeni


/limbukɛni/


mtu anayeanza kutumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza


 
Mara nyingine ukikataliwa siyo kwamba wewe ndo mwenye tatizo, mara nyingi upande wa pili ndiyo kuna tatizo na anakukataa kwa nia njema.

Assume umemtongoza mwanamke aliye ishi na HIV, mwanamke mwenye watoto 3 kila mmoja na baba ake, mwanamke mwenye magonjwa ya kurithi, mwanamke mlevi na teja e.t.c

Ukikataliwa shukuru na kimbia, siyo lazima upewe sababu ya kukataliwa. Acha unalialia kama mtoto mdogo. Wanawake wapo wengi, endelea kutongoza utafanikiwa.
 
Mtaani kwako hamna mbususu? Dadek uta endelea kupiga nyeto mpaka uende upande
 
Kwanza ni mshukuru Mama kwa wewe kuwa na miaka 40!
Pili nikwambie tuu itakuwa huna hela hakuna cha kipato cha kati ni kujidanganya!
Hao ulishawaona wapi? Halafu unawezaje kujitangaza unawataka wanawake watatu na wote umewatongoza? Hivi ungekuwa wewe ungekubali?
 
U
Ushauri wa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…