Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Research ya uhakika nmetuma na maspy , sijakurupukaUna uhakika gani kua hao uliowataka ni wanawake we mzee?..
Nna miaka 40
nmewafuata wanawake kama watatu inbox na wote wakanitolea nje
Nna kipato cha kati, ni muajiriwa naweza kutunza familia
Nafikiri kosa lako ni hili:maokoto yapo
kosa langu ni lipi?
Mara nyingine ukikataliwa siyo kwamba wewe ndo mwenye tatizo, mara nyingi upande wa pili ndiyo kuna tatizo na anakukataa kwa nia njema.Herini ya Easter kwa wale mnaosheherekea
Mimi ni mwanaume ambaye nimekuwa sina bahati tuite hivyo
Nna miaka 40, miaka kama 13 nyuma nliwahi kuwa na mahusiano yaliyozaa watoto wawili wa kike mapacha brianca na bianca,
Bahati mbaya tulitofautiana na mama watoto tukaachana katika process za kupeleka mahari, kumbe alikuwa na jamaa ambaye allikuja kuleta mahari kabla yangu na sikujua na wakati huo ana ujauzito wa watoto wangu,
Basi katika yote kufupishwa hatukuweza kuendelea alifungua aknletea Watt wa miezi sita na yeye kwenda kuolewa ,na hapo nkaapa katukatu staki mke tena,
Lakini wadau nmekaa miaka yote hiyo sikutaka kabisa hadithi za kuoa, ila kwa sasa naona umuhimu wa kuoa nmepona majereha kabisa,
Wanangu nipo nao wanaelewa na mama mzazi,
basi katika hivyo, hapa if nmewafuata wanawake kama watatu inbox na wote wakanitolea nje To yeye Winnone hopeUrassa wanafahamu hili
kosa langu ni lipi? Nna kipato cha kati, ni muajiriwa naweza kutunza familia , nacho hitaji kwa sasa ni mke serious wa kujenga familia
maokoto yapo ila sio uforce , uwe na staha unapoomba ,sihitaji starehe ya Mwanamke kwa muda ,nataka nimmiliki,,,
ASANTENI
Mtaani kwako hamna mbususu? Dadek uta endelea kupiga nyeto mpaka uende upandeHerini ya Easter kwa wale mnaosheherekea
Mimi ni mwanaume ambaye nimekuwa sina bahati tuite hivyo
Nna miaka 40, miaka kama 13 nyuma nliwahi kuwa na mahusiano yaliyozaa watoto wawili wa kike mapacha brianca na bianca,
Bahati mbaya tulitofautiana na mama watoto tukaachana katika process za kupeleka mahari, kumbe alikuwa na jamaa ambaye allikuja kuleta mahari kabla yangu na sikujua na wakati huo ana ujauzito wa watoto wangu,
Basi katika yote kufupishwa hatukuweza kuendelea alifungua aknletea Watt wa miezi sita na yeye kwenda kuolewa ,na hapo nkaapa katukatu staki mke tena,
Lakini wadau nmekaa miaka yote hiyo sikutaka kabisa hadithi za kuoa, ila kwa sasa naona umuhimu wa kuoa nmepona majereha kabisa,
Wanangu nipo nao wanaelewa na mama mzazi,
basi katika hivyo, hapa if nmewafuata wanawake kama watatu inbox na wote wakanitolea nje To yeye Winnone hopeUrassa wanafahamu hili
kosa langu ni lipi? Nna kipato cha kati, ni muajiriwa naweza kutunza familia , nacho hitaji kwa sasa ni mke serious wa kujenga familia
maokoto yapo ila sio uforce , uwe na staha unapoomba ,sihitaji starehe ya Mwanamke kwa muda ,nataka nimmiliki,,,
ASANTENI
Sitaki mashabanUnamtongoza shabani ukijua ni hadija
Piga mara kumi kwa siku mkuuMtaani kwako hamna mbususu? Dadek uta endelea kupiga nyeto mpaka uende upande
Ushauri wa maanaMara nyingine ukikataliwa siyo kwamba wewe ndo mwenye tatizo, mara nyingi upande wa pili ndiyo kuna tatizo na anakukataa kwa nia njema.
Assume umemtongoza mwanamke aliye ishi na HIV, mwanamke mwenye watoto 3 kila mmoja na baba ake, mwanamke mwenye magonjwa ya kurithi, mwanamke mlevi na teja e.t.c
Ukikataliwa shukuru na kimbia, siyo lazima upewe sababu ya kukataliwa. Acha unalialia kama mtoto mdogo. Wanawake wapo wengi, endelea kutongoza utafanikiwa.
Inawezekana maana kuna mmoja hapo alikuwa mkali sana nkajua huyu mapenzi yalishamtendaNa wao pia wana stress za kuachwa wape muda maumivu yapungue kama yalivyopungua kwako watakukubalia