Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

hhahahah, Baba la Kinyamwezi, linanitesa moyo wangu hakika, hahahahahaha
Dada sasa kuna haja ya kufanya mipango uondoke huko kwa wasukuma urudi huku kaskazini angalau hata arusha amabapo ni karibu na nyumbani, maana sasa wanitia shaka mimi kaka yako, kipindi kile Ulikoswa koswa kulambwa na yule mvuta bangi ambae sasa kawa mzee wa kanisa tukasema ni bahati mbaya tu, sasa huyu mtu wa boda boda nae. Alafu hayo mambo ya kupakia mi bodaboda ya nini? si utafute hata ka vits tu? Ina bidi hili tutadili kwa mapana na marefu.
 
Mwambie aukote huo moyo akurudishie jaman [emoji23][emoji23][emoji23]mtunuku zawadi yoyote nzuri
 
Mtumie kukut***ba tu, maana anao wengine anawapakiaga kama wewe.
 
Unapenda sana ndito za saa 12 jioni!!!
 
Mwambie kwanza kama limoyo limemdondokea sasa hivi kama mtu unayempenda hatoi ushirikiano mtongoze mwenyewe
hahahahaahhhaahha, ushauri mzuri sana huu shost hahahahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…