Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Anaitwa Richhahahahaah, nenda kwenye ofisi za kampuni yao uwaulize jina lake hahahahahahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Richhahahahaah, nenda kwenye ofisi za kampuni yao uwaulize jina lake hahahahahahahha
hahahahaah, nenda kwenye ofisi za kampuni yao uwaulize jina lake hahahahahahahhaAcha tu siku hizi hata kwenye tendo namvutia hisia yule kaka..
Halafu mwenyewe hata hana habari..maisha haya jamani
Anaitwa Rich,usiulize nilijuajehahahahaah, nenda kwenye ofisi za kampuni yao uwaulize jina lake hahahahahahahha
Haa haa hii ndo inaombwa miujizaYule ni ngumu kumuona nilimuona mara mbili tu sijamuona tena ila picha yake haitoki kichwani kwangu...
Ningepata hata namba yake ningempa ukweli tu.
hahahahaahahhaahhIla saa hizi hawezi kuwa humu yupo busy kujaza chart..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbitiyaza bado kalala na beira boy wake
EwaaaHaa haa hii ndo inaombwa miujiza
Itendeke mkutane cku moja kweli bus
Lake
hahahahaahahhaahhIla saa hizi hawezi kuwa humu yupo busy kujaza chart..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbitiyaza bado kalala na beira boy wake
Nenda stage y mkoaEwaaa
Njoo uoneNa wewe una "kamzuzu"? 😉😉
Ataishia kunitia tu wacha nikae mbaliNenda stage y mkoa
Anayo fanya rot ujifanye unatuma
Mzgo upewe no yake af tegea ile
Masaa gari inaingia ndo ukutane
Nae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ataishia kunitia tu wacha nikae mbali
Ikitokea iwe bahati mbaya..
Inatokea tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa c unataka dyudyu af
Au unataka dyudyu na
Life husband juuu
Inatosha mpaka mashetanInatokea tu mkuu
Unamuona mtu unajikuta umempenda for no reason
Unaomba dua uepukane nae
Ila moyo nao unatunza kumbukumbu
Kafichwa wapi simuoni siku hizi!Inatosha mpaka mashetan
Yang Kwa inna yameamka
Maana nae kama kanikalia
Chapat
Mwenyewe najiuliza hapaKafichwa wapi simuoni siku hizi!
Wazo zuri unaanza kwa kujali..hahaah, yeye yuko Buswelu na mie nashinda mjini kati!! Ila wazo lako nimelibeba. Kuanzia kesho naanza kupeleka yale makoti yake dry cleaner yafuliwe
Shunie, MBITIYAZA, Miss Natafuta njoo huku mashost zangu muanze siku na kucheka, hahahahaha ila Hornet umenivunja mbavu zangu. hahahahahaaahhahahhahah.