Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

Acha tu siku hizi hata kwenye tendo namvutia hisia yule kaka..
Halafu mwenyewe hata hana habari..maisha haya jamani
hahahahaah, nenda kwenye ofisi za kampuni yao uwaulize jina lake hahahahahahahha
 
Yule ni ngumu kumuona nilimuona mara mbili tu sijamuona tena ila picha yake haitoki kichwani kwangu...
Ningepata hata namba yake ningempa ukweli tu.
Haa haa hii ndo inaombwa miujiza
Itendeke mkutane cku moja kweli bus
Lake
 
Nenda stage y mkoa
Anayo fanya rot ujifanye unatuma
Mzgo upewe no yake af tegea ile
Masaa gari inaingia ndo ukutane
Nae
Ataishia kunitia tu wacha nikae mbali
Ikitokea iwe bahati mbaya..
 
Ataishia kunitia tu wacha nikae mbali
Ikitokea iwe bahati mbaya..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa c unataka dyudyu af
Au unataka dyudyu na
Life husband juuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa c unataka dyudyu af
Au unataka dyudyu na
Life husband juuu
Inatokea tu mkuu
Unamuona mtu unajikuta umempenda for no reason
Unaomba dua uepukane nae
Ila moyo nao unatunza kumbukumbu
 
Ama kweli 'love sees no colour'
Huyo ni binadamu na yy pia anastahili kupendwa regardless aina ya kazi anayoifanya!
 
hahaah, yeye yuko Buswelu na mie nashinda mjini kati!! Ila wazo lako nimelibeba. Kuanzia kesho naanza kupeleka yale makoti yake dry cleaner yafuliwe
Wazo zuri unaanza kwa kujali..
 
Back
Top Bottom