Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

Kufar ktk ubora wake
 
Mwehu!. Ungemjua Mungu wa Ibrahim, ungleikwua unafanya upumbavu huu? Chawi kama simoni mchawi huna lolote, Pumbavu.

Una nini nami ewe uzao wa nyoka?

Kariri hayo maneno lakini leo bangi zako na unaafiki wako wa kujifichia kwenye dini huku ukiwanga uchi usiku na mchana, barabarana na majirani zako hadi wanakujua, leo zitakutoka. Leo unaanikwa utupu wako, pumbavu wewe.
 
Pamoja na hayo, bado Mungu anawapenda.

Ninawalilia hawa hapa, na watu wa aina yao.




Ndio sababu nikasema, aliyeanzsiha hii imani na alaaniwe sana.
HAWW WATU WANATAKIWA KUISHI KAMA BINADAMU, NA PIA WAJUE UPENDO WA MUNGU WA KWELI, WAMPOKEE KRISTO ILI WAPATE TUMAINI LA KWELI.
 
Ukoo wa shetani ambao ndio ukoo wako,hauna mamlaka juu ya Israel, pigwa laana kila utokapo na uingiapo,upandapo mazao na kila motto atokaye maungoni mwako

Halafu wewe mfuasi wa lucifer, usidhani mimi ninacheza ama kutaniana na shetani.

1). Kwanza naagiza malakika Coalieli akuonyeshe nafasi yako halisi unayostahili, kwa sababu unajifanya na wewe ni binadamu wakati umejaa mashetani,

2). Laana zote unazozikusudia, si kwangu na uzao wangu tu, bali kwa binadamu yeyote, kwa kuwa unatumiwa na shetani, zikurudie wewe mwenyewe na sio watoto wako.
(chukua hii).
Zaburi 109:17, Yeye alipenda kulaani watu, laana na impate yeye (yaani wewe) mwenyewe. Hukuwatakia wengine baraka, basi asipate (usipate ) baraka wewe mwenyewe.

3). Usijidanganye kwamba una ubavu wa kuni laani na watu wangu. Mungu wangu ni Mkuu sana na sikia asemavyo kwa habari ya ulozi na laana za kichawi uzitumainizo:-​


Hesabu 23: 23 Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu.

4) Laana zako hazina sababu ya kunigusa mimi na watu wangu wote, kwa kuwa nimehesabiwa haki na Mungu kwa njia ya Agano la Damu ya Yesu Kristo.

Mithali 26:2 Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu.​

Lakini kwa kuwa umekusudia maovu juu ya nyumba ya Mungu, bila shaka baya litakupata wewe ghafla iwapo hautatubu uovu wako na kuuacha "Kwa Jina La Yesu Kristo".,
 
Ungeyajua yaliyo nyuma ya pazia ungewachukia hao wamarekani maisha yko yote.

Wamarekani wapo vzuri kwa kutengeneza skendo/propaganda...ata movies zao wewe unazionaje kwanza?

Rejea kwa gadafi
Nyerere alisema mtu mwenye akili akiuambia jambo la kipumbavu, akijua kwamba na wewe una aklili, halafu ukakubali jambo la kipumbavu, bila shaka atakudharau sana.

Naomba watalawa wajifunze kuwanyima watu taarifa kamili zenye kuwafungua , ili uwatumie kwa maslahi yako, brainwash, manipulations, self defense na kuwafanya watii kipumbavu, huwa ni bomu la muda. Hivyo viongozi wawe wa kweli. kwa maslahi yao.
 
Na uugue hadi upasuke
 
Wewe jamaa muongo sana!

Pia mnafiki!
 
Nenda kwenye point. Uongo ni upi na unafiki katika lipi? SEMA BAYANA
Bandiko lako ndio linakuhukumu kwamba wewe ni muongo na mnafiki mkubwa!

We soma tena ulichoandika, halafu jiulize " hivi mimi hapa nineandika ukweli au nina mihemko..?!"

Jf watu tuna akili zetu timamu!
 
Moyo wako umekosa cha kuugulia
 
Bandiko lako ndio linakuhukumu kwamba wewe ni muongo na mnafiki mkubwa!

We soma tena ulichoandika, halafu jiulize " hivi mimi hapa nineandika ukweli au nina mihemko..?!"

Jf watu tuna akili zetu timamu!
Huna point, nyamaza. Unasehemu unaona iko sawa iseme, vinginevyo vila shaka unastahili hukumu ya Mungu.
 
Yale magaidi yanayoua kwa mgongo wa dini ni sawa?
Vita vya kidini vilikuwepo enzi na enzi toka nabii Adam uko....rejea ya kaini na abeli.

Hao magaidi wanaoua kwa mgongo wa dini na siasa ni wamarekani,wazee wa propaganda,wazee wa mission.... wamarekani ni wanafiki na wachonganishi wakubwa,mataifa au makabila ata dini mbili zinaweza zikapigana kwa kuchochewa na wamarekani.
 
Hakuna asiyestahili hukumu ya Mungu.

Unataka kuongopa nini na hapo..?!
I really don't understand you, una maana gani? Na wapi uanpoona pana uwongo? Au wewe unatake je?
 

Acha uwongo wewe. Siasa za marekani ndizo zinafundisha utaahira? Marekani inawafundisha kubaka wanawake na kuoa watoto wa miaka 7? Upumbavu wao kama leo mnavyoshadadia chanjo bila kutumia akili ya kujiuliza maswali ya kawaida. NI upumbavu kama ule watemi wenu walivyowauza kwa waarabu utumwani .
 
Soma vzuri... ukweli kwa mjinga hugeuka uongo.

Na kila mjinga ana ulazima wa kujifinza..
Nilidhani una hoja nikakupa my attention kumbe napoteza.
Mods, wekeni kitife cha ku block distractions.
Hello, mind your own business basi.
 
Nilidhani una hoja nikakupa my attention kumbe napoteza.
Mods, wekeni kitife cha ku block distractions.
Hello, mind your own business basi.
Ahahaaa....hoja zpo mzee sema uwezo wetu wa kufikiria na kuchuja mambo umetofautiana...

Mods wamekusikia mzee,wapo kulifanyia kazi hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…